Recent content by shorage

  1. shorage

    JamiiForums Tanzania Lukuvi akili kuwa prof Tibaijuka ni mtetezi wa wanyonge.

    Katika kukabidhi ofisi kwa waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi, Lukuvi alikili kwamba Prof Tibaijuka ni mtetezi wa wanyonge na mzalendo kwa Nchi yake kwa yote aliyoyafanya ktk wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi akiwa waziri
  2. shorage

    JamiiForums Tanzania Maprofesa wamepungua katika Baraza la Mawaziri

    Cheerful!!!! Prof Tibaijuka your the only performer in Tz land, nasema hivyo kwa sababu mama hyu amefanya mengi sana kwenye wizara yake ambapo ameweza kutatua migogoro ya ardhi katika sehemu mbalimbali za Tanzania. Tukirudi kwenye kashfa ya ESCROW mama hyu alitolewa kafala ili kipolo cha muhongo...
Back
Top Bottom