Recent content by Shokolokobangoshei

  1. S

    JamiiForums Tanzania Walimu mnao kata hela za wadogo zetu tunapowatumia mna shida gani?

    Acha kulalamika,mfungulie mwanao acc muwekee huko pesa,kwani mwl alikuomba utume pesa kupitia namba yake?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mliopona maumivu ya mgongo, kiuno, na viungo mlitumia dawa gani?

    Mm nilipata hilo tatizo kwa muda mrefu sana hadi nikakata tamaa,nikajiongeza kwa kubadili lifestyle hadi sasa limekwisha kabisa.Nimenunua baiskeli kwa ajili ya mazoezi,napumzika muda wa kutosha lkn nimeachana na vyakula vya sukari na wanga napiga matunda na maji ya kutosha
  3. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ingilieni kati, walimu wanadhaurika sana

    Mwl Nyani kakufundisha ww na mwanao kuwa na tabia za nyani
  4. S

    JamiiForums Tanzania Teaching allowance ndiyo ukombozi wa kweli kwa Mwalimu

    Kuna watu hawana akili halafu wanadhani na wenzao hawana akili,jipeleke mwenyewe milembe
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kuna mengi ya kujifunza kwa hili la Musiba

    Heri ungekaa kimya,hayo maelezo yako ndiyo yanazidi kuonesha kiwango chako cha juu cha unafiki kilichopitiliza
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuna mengi ya kujifunza kwa hili la Musiba

    Dawa imekuingia
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuna mengi ya kujifunza kwa hili la Musiba

    Hakuna dini yenye unafiki,kama ukristo,alishasema mchungaji Hananja
Back
Top Bottom