Nashukuru sana kwa mchango wko wa mawazo Babati ninayoizungumzia ni mjini-huko maisaka. wazo kuu ni kujenga ghala la kisasa ili pia kuwakodisha wakulima wadogo2 kwa ajili ya kuwatafutia masoko. Nimezunguka sehemu nyingi uhifadhi ni duni na mazao yanaharibika !!!!!!!!!!Endelea kunishauri tafadhali.
Hello,
My name is Sitoni, I am very interested in establishing grain storage business. I really do not have much experience in agricultural storage business. I would be so happy if you can tell me any short programme I can attend either in Tanzania or Kenya that can inform me more on storage...
Nina njozi ya kuanzisha hifadhi ya nafaka kama biashara ndogo hapa Arusha lakini sina ujuzi wa kutosha katika fani hii na sijui kama nitapata faida. Mtaji wangu ni milioni 5 tu! Nifanyaje wapendwa kwani ninapenda biashara hii tangu utoto wangu niliposoma Mwa.41:25-36 na kupata kisa hiki kizuri...
What are the new models of Small Business start-ups in Tanzania and how do they operated according to the legal aspects of our country? Does they participate in the country economy? Please help me as far as I want to learn how start my own new venture.
Maeneo mengi yana matatizo ya maji kwa muda mrefu hapa Arusha mfano maeneo ya mbauda, kwa murombo, sombetini, nk. Watumiaji wanalipia hewa kila mwezi Mamalaka ya maji, huku madiwani wetu wamebana kimya!!!!!! bila kufuatilia kero hizi za wananchi tuwalewaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.