Recent content by shockwave

  1. shockwave

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kurudisha internet kwenye simu

    Itabidi uweze ku updeti system nzima.
  2. shockwave

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kuinstall file japokuwa nina account ya Google

    Kwani hivi huna app ya google play store kwa simu ya kwako ??
  3. shockwave

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kuinstall file japokuwa nina account ya Google

    Unatumia website ama appu ??? Kama watumia website kuinstall jaribu kuingia kutumia app yake .
  4. shockwave

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurejesha picha nilizozifuta kwenye simu kwa bahati mbaya ?

    Downloadi appu inayoitwa diskdigger pro , itafute katika website ya google, hutaipata playstore. Hapo huhitaji pc computer.
  5. shockwave

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuinstall TWRP kwenye Tecno yangu

    Nenda google ubrowsi utafute .zip file ya twrp ya simu unayotaka alafu kuna appu yaitwa mobile uncle ndio utakayotumia kuflashi .zip hiyo katika simu yako ndiposa upate twrp kikamilifu.
Back
Top Bottom