Mbona watu wengine vichwa vigumu? tumeshaambiwa TANESCO hapangi kodi, kodi ipo kwa mujibu wa Sheria iliyotungwa na Bunge, hata hizo REA na EWURA limepitisha Bunge. Hebu tuelewe, leteni hoja za kukatika kwa umeme, tuulize TANESCO wana mipango gani ya kuzalisha umeme, wana mipango gani kwa mfano...