Recent content by shizzoh

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kumuhudumia mpenzi wako ni hiari ama lazima?

    Unataka nani amhudumie??? sio lazima ila ni vizuri kumhudumia kikamilifu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je Unakumbuka Ulimpataje/Mlikutanaje na Mpenzi/mke/mme wako?

    Atakua atoto tu huyo teh,
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali tabia za jamii hii

    Kwa jinsi navyowaelewa mimi hawana tofauti sana na wazaramo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hatuna bahati

    Pouleeee
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ananinyanyasia watoto wangu kisa yeye hazai, sijui nimfanyaje?

    Nawahurumia sana watoto. Huyo hakufai na ataendelea kufanya makubwa zaidi ya hayo. Kama huwezi kumkemea basi muondoe haraka iwezekanavyo
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ananinyanyasia watoto wangu kisa yeye hazai, sijui nimfanyaje?

    Nawahurumia sana watoto. Huyo hakufai na ataendelea kufanya makubwa zaidi ya hayo. Kama huwezi kumkemea basi muondoe haraka iwezekanavyo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tamko: Sitaki shobo

    Hahahaha message delivered, teh teh
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu anakunyimaje Amani

    Ndo udomo zege huo sasa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ina maana mabinti wa kitanzania mmefikia hatua hii au ni uhaba wa wanaume?

    Duh hii kali, sasa mkuu kama mahari huwezi je kutunza familia itakuaje kama tukikuashauri kuoa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Je, Ingekuwa wewe ungefanyaje?

    Inaumiza sana dahh,
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kubadili dini

    Ila umenichekesha sana
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kubadili dini

    Kwahiyo kindondindo una miaka mingapi? Na je uko tayari kuachana nae??
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

    Ebu jaribu kutumia godoro Dodama
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu kabadilika sana simuelewi

    Kweli kabisa mkuu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Aibu mkutano wa kampeni ya Magufuli mjini Tarime

    Magufuli hana hili Wala lile kashajikatia tamaa ila basi tu
Back
Top Bottom