Recent content by Shizwalwa

  1. Shizwalwa

    JamiiForums Tanzania HESLB yajipanga ‘kuwaliza’ wanafunzi vyuo vikuu

    Huyu jamaa nahisi sehemu kulipotakiwa kuwa na kichwa aliwekewa jiwe, Unabishana na mkurugenzi wa HESLB aliefanya press conference na akatoa maelezo hayo....."Kuna watu ni wachawi mpaka kwa nafsi zao".
  2. Shizwalwa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM asili inamuandaa mgombea wake 2020

    Upinzani Kuongoza nchi kwa kutegemea CCM isambaratike yenyewe ni dalili ya Upinzani ulio dolola, Kwa hali ya sasa ktk hatma ya siasa za kitanzania, kila kiongozi wa upinzani anasema"Kwa mwenendo huu hakuna chama cha Upinzani kitakachobaki salama, ni muda mwafaka wa kuunganisha nguvu kupinga...
  3. Shizwalwa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA isianze kuwa legelege, natoa rai irudie ule "U- CHADEMA wa chuma"

    Hizi ni Ndoto .....!!!!
  4. Shizwalwa

    JamiiForums Tanzania Dk 45 ya leo: Prof Mukandala kapata "walkover"!

    Kwa Tanzania vyombo vingi vya habari vinaajili watu kwa kuangalia kigezo cha sauti nzuri,......
Back
Top Bottom