Mrisho mpoto hakuwa mjinga kudai pcha zetu zbandikwe kwenye hela ili wakizitumia watutumie na sisi kama wameshindwa trh 25/10 hiyoooo kwenye sanduku tukaadhibu kmyakmya
Nmeshindwa kuekewe wadau nkiangalia kampen za mwaka huu ccm inatumia nguvu nying kuzid upinzan wakat kama wangekuwa wameleta maendeleo lilikua jambo la kusema mnaona tuliyoyafanya jaman bas lakn saiz ahad zao ni sawa na ahadi za watu ambao hawajashika dora aibu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.