Recent content by Shipilingitya

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    😂😂😂
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwelii kabsa kamanda
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Aiisee Makamanda kwa comments wa Wana Uzi hapo juu tuzidi kumwamini Mwenyezi Mungu ipo tu na sisi Watoto wa Masikini Atatubariki hata kama itakuwa kwa njia tofauti na Majeshi tusikate tamaa tuzidi kumwamini tu yeye Aliye juu ndo anaegawa Riziki👏👏
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    😀😀😀😀😀😀
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hawa wanaowaita Waasi nahisi bado wanadukuduku nao tu Kiongozi Maana Hawa mwanzo wanarudishwa walikuwa 850 wakapimwa Mara ya kwanza wakabaki 600 na ushee hivi sahivi Tena wamepimwa wamebaki 500 bado Tena nahisi watapimwa pamoja na wazarendo wanotoka vikosini nahisi mpaka wataisha kwa namna hii...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sahihi mkuu Mapambano yaendelee
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Inaumiza sana Kamanda yaani Tena naskia ndo wale Wajenzi walioitwa Waasi wakarudishwa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Msata nasikia wamepatikana Unfit 109 tena Jana wamerudishwa Home, vijana wa kimasikini tuna wakati mgumu sana😭
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    DPA iki Chuo Kiko Kilwa road Kurasini karibu sana kaka tutakutana pale me pia nimepangiwa hapo Usaili
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Makamanda mbona hatupati mrejesho wa kundi la kwanza Usaili Kurasini Dar kupitia Makao Makuu Je usaili umeisha au bado unaendelea maana Leo ndo ilikuwa mwisho, Naombeni Maelekezo kwa anayejua
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mambo Vipi Kiongozi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Asante sana mkuu umetusaidia wengi tulikuwa tumekwama kwa namna hiyo ila sahv naona Mambo safi
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Ndio yaani ukishatuma hakuna access ya kuingia Mara ya pili Tena ?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Eti jamani ukishatuma na ikakubali huwezi Tena kuingia kwenye hiyo account au ni propaganda tu watu maana mimi nimetuma na imeniletea ujumbe wa thank u for you application lakini naweza kuingia Tena kwenye account yamgu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lasitisha mafunzo ya kujitolea

    Bonanza lipi ulikuwa kikosi gani wewe mujibu wa sheria?
Back
Top Bottom