Recent content by shinuyapi

  1. shinuyapi

    Natafuta soko la ukwaju

    Wadau wa jf natafuta soko la kuuzia ukwaju. Kwa anayefahamu tafadhali
  2. shinuyapi

    Wadada hali kama hii ikikukuta huwa unafanyaje?

    Hahaha huwatoka jasho kana kwamba ana solve mathematics. Kufikiria kama bahati ngingine inaweza tokea.
  3. shinuyapi

    Fungus za miguu ni shida jamani

    Mkuuu dawa ni mafufa ya mgando pakaa. Pia epuka kuvaa soksi miguu ikiwa na majimaji. Ushauri pia usipende kuvaa viatu vya kufunika muda mreefu sana. Naribu kuvaa open shoes siku mojamoja.
  4. shinuyapi

    Kigugumizi kwa mtoto mdogo

    Tufanye wewe ni kama mimi niliyeishia la saba hicho Kingereza. Lakini siwezi kubisha sana. Tuwaone watalaam wanasemaje
  5. shinuyapi

    Kigugumizi kwa mtoto mdogo

    Jamani utani mwingine c mzuri ungekuwa ni wewe unatafuta msaada ukapata reply kama hiyo. Mimi sina jibu jamani. Ila tumwogopeni Mungu leo kwake kesho.....
  6. shinuyapi

    Hp officejet 7510

    Jamani msaada natafuta printa "HP officejet 7510" au "Epson WorkForce WF-7610". Kwa anayefahamu duka wanalouza hiyo printa. Itafaa zaidi nikijua na bei yake.
Back
Top Bottom