Hii biashara ya kumuuzia mtu kitu halafu uisikilizie kiasi kinachobaki huwa haina mwisho mzuri.
Mfano umemuuzia kitu cha milioni 7 halafu akupe 5, milioni 2 akwambie atakulipa mwisho wa mwezi.
Nakuhakikishia hiyo 2 ikifika mwisho wa mwezi hatokulipa atakuzungusha mpaka miezi sita au mwaka...
Jamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo.
Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu
Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
Ukiona mtu damu yako na yake haziendani yani hakukubali kaa naye mbali jiepushe naye kabisa kaa naye mbali.
Kama unanamba yake ifupe upesi usiangalie status zake wala wewe asiangalie status zako.
Haijalishi ni shangazi mjomba rafiki nk kwa kuwa tu damu zenu haziivi jiepushe naye
Ukiwa unaingilika ingilika kirahisi utajishushia heshima weka limits za watu kukuzoea. Wengine salamu tu inatosha wasikuzoee sana
Kawaida ya mbongo akikuzoea anakushusha thamani ndo maana hata wasanii somo lao kubwa kwenye kazi zao za sanaa ni kujiweka mbali na mazoea yani kutojichanganya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.