Recent content by shinhu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa teknolojia waichambua video ya Lwakatare, baadhi wadai ni halisi!

    This is poor research haina utaalamu wowote inaweza kutolewa na mtu yeyote anaetazama muvi mara nyingi..... Hebu mtupe research za kitaalamu sio za kijinga hivyo! mwandishi inabidi arudie research yake sio atuletee research za mwaka 1961. watanzania wameelimika sana kwa sasa....... [
  2. S

    JamiiForums Tanzania BP Eyes Investing in Natural Gas Search in TANZANIA

    Ni ajabu sana na aibu kwa idara yetu ya geologia UDSM eti short course inatolewa na imedhaminiwa halafu inalimitiwa watu 20 tu wakati darasa lote lina wanafunzi 33 isitoshe tunachrgiwa 20,000/= ambayo kiukweli haieleweki ni ya nini na kibaya zaid lecturers wanakua na watu wao (bias selection)...
  3. S

    JamiiForums Tanzania JK ameuliza: Nani asiyejua kuwa watoto wanafeli, maji Kimara hakuna, reli hakuna?

    JK ni president mzuri sana tena genious maana anafight ucku na mchana kuiua CCM so big up presida!!!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kawambwa, Kilichowafelisha Kidato cha Nne ni Hiki Hapa

    nahisi unaishi mjini tu! je vijijini ambako hakuna tv na kumiliki cm ni tatizo ? unasemaje?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Radio Imani Morogoro mnakotupeleka hakufai. Mwisho wake mbaya sana!

    Mkuu! Kumbuka kipindi wakristo wanaenda shule ninyi mlisisitiza madrasa ndio maana kwa mtu kujiunga na upadri elimu ya chini ni form six na anaendelea kusoma miaka mingine si chini ya sita so automatically shule kwa wakristo itasisitizwa lakin mpaka sasa kuna waislam wanaelimu ya juu ya kiislam...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa Graduates wote na kaka/dadas Mliopo Vyuoni

    Nimekupata mkuu! geologist UDSM
  7. S

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    CCM kweli hamnazo bado mnafikiri Tanzania ya leo ni ya 1990 iliyokua ya wazee wenye ufinyu wa mawazo na mawazo ya kizee yanayodharau vijana! huu ni wakati wa vijana na ni wa mabadiliko kweli 2015-CCM-OUT!!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Duh! nakukubali mkuu!
Back
Top Bottom