Recent content by shingwengwe

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kifo cha CCM kimetimia

    chama hiki kilishazeeka na kufa kitambo,kimebaki kulindwa na dola+mfumo mbovu wa uchaguzi tu! kwa sasa dola inaparaganyika na tutegemee mazishi yake hivi karibuni,hakiwezi kudharau maoni na mawazo ya wananchi then kikabaki salama,hata wanachama wake wa ngazi za chini tofauti na hii misukule ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda: Bunge Maalum la Katiba laweza kuahirishwa hadi mwakani

    ili tuheshimiane kinatakiwa kinuke hata kwa mwezi mmoja!!! mbona magamba yatapata adabu tu!!!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano Tarehe 26 Machi 2014

    hatuna muda wa kuvumilia.huu usanii wa magamba,kama vipi kinuke tu ili baadaye tuheshimiane!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano Tarehe 26 Machi 2014

    wewe ni timu lowasa,membe,sitta au shabiki maandazi tu!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano Tarehe 26 Machi 2014

    kwa hiyo wewe ulitaka huu uhuni wa maccm uachwe tu au??? toa ushabiki maandazi wako hapa!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani tunakikosa kwenye siasa za Tanzania kwa sasa!

    unahangaika bure,hatuna muda wa kujadili huu upuuz wako,tupo bussy na KATIBA MPYA! kajipange upya urudi!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani tunakikosa kwenye siasa za Tanzania kwa sasa!

    uharo mtupu! kachukue buk 7 uende choo!!! act= ccm!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Maalimu Seif: Serikali mbili hazivumiliki, Zanzibar tunataka Mamlaka kamili

    endelea kuwa mtumwa wa fikra za m/kt wa magamba ili usife njaa! nyakati za giza zilishapita na sasa watz wanajitambua!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Mizengo Pinda Apinga Mawaziri kutokuwa Wabunge

    ni wa kupuuzwa tu huyo mchumia tumbo,yeye anawaza tumbo lake tu! sijawahi ona waziri mkuu mzigo na bomu kama huyu!
  10. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA - Huu ni mwamzo wa mwisho.

    mleta mada kula LIKE kubwa!
  11. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA - Huu ni mwamzo wa mwisho.

    mleta mada kila LIKE kubwa!
  12. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA - Huu ni mwamzo wa mwisho.

    pole sana kwa kutojitambua! maccm mmekamatika na siku zenu zinahesabika! Hongera UKAWA na watz tupo nyuma yenu!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila na Mwanakijiji wawavaa wapinzani na wahafidhina...

    ccm kweli kiboko,kama walimwingiza mkenge yeye na msaliti mwenzie zzk na sasa wamebakiza makelele tu mitandaoni wakidhani siasa za TZ zinaendeshewa mitandaoni na kwenye magazeti uchwara!!!!! watz wenye uwezo wa kuingia mitandaoni wote wanajielewa na kujitambua hivyo hawawezi kuyumbishwa na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila na Mwanakijiji wawavaa wapinzani na wahafidhina...

    ni kweli kuwa kitila amaijua ccm vizuri kwani ndio mabwana zake waliomfanya asaliti mabadiliko! ni ajabu sana mtumwa kutomjua bwana wake vizuri!
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sitta awaponda UKAWA mbele ya waandishi wa habari

    mchumia tumbo tu huyo hana jipya!
Back
Top Bottom