Recent content by Shinfo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kinyanganyiro umeya- UKAWA OYEE!

    MBWANDA KALA MBWANDA
  2. S

    JamiiForums Tanzania Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Kuna shule ya kiislamu huko dodoma walimu hawajalipwa mshahara tangu mwezi july mwaka huu! Halafu unategemea 'matokeo makubwa'. Washaurini watoto wenu wasome kwa bidii. Halafu mkome kuwa mnatisha watu! Yaani mnavyopiga bit utafikiri wakristo wote hawana mikono. Mungu awape hekima!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, Bulembo ajitumbua Mwenyewe kabla kufikiwa?

    Hata mimi nimeshangaa, kwa nini asingejitambulisha kwa jina lake tu! Au hata angesema 'aliyekuwa mjumbe'. Au huenda ukiwa mwenyekiti wa wazazi automatically unakuwa mjumbe wa bodi! Tatizo teuzi hizi zinafanywa kwa kuzingatia ukada wa ccm badala ya umahiri wa mtu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je, Bulembo ajitumbua Mwenyewe kabla kufikiwa?

    Hata mimi nimeshangaa, kwa nini asingejitambulisha kwa jina lake tu! Au hata angesema 'aliyekuwa mjumbe'
  5. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    Kama mgombea aliyeshindwa ni kiongozi wa chama (mwenyekiti, m/mwenyekiti, katibu n.k) wa ngazi ya kitaifa, mkoa, wilaya, jimbo, kata au kijiji/mtaa husika inakuwaje? Ina maana inabidi asifanye shughuli za kisiasa ktk ngazi hiyo? Hili tamko lina matatizo mawili; 1. Halina time limit (hajasema...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa DART

    Bado UDA, sijui kama rizi1 atasalimika jamani!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

    Kivipi? Maana bajeti ya nchi hii kwa asilimia 20 hadi 40 inaendeshwa kwa misaada (japo siungi mikono misaada hii). Hivyo kama ni kumilikiwa na wakoloni, tayari tunamilikiwa kwa 40% (sawa na misaada tunayopekea!). Au magufuli kashapiga marufuku misaada ya kutoka nje?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tafadhali tunaomba CV za N/Waziri wa Elimu, Stella Manyanya

    Mtatiro kaandika uchambuzi kuhusu stella manyanya, tafuta gazeti la mwananchi la leo
  9. S

    JamiiForums Tanzania kimeeleweka tarime

    Hujaeleweka, weka habari yako vizuri.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Kitwanga aomba taarifa za Wauza Madawa ya kulevya (unga)

    Amuombe jk, kaenda nayo msoga
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura wa CCM Zanzibar 181,837 kuwakosesha Watanzania millioni 49 ruzuku ya MCC

    Wazanzibar walishalimaliza october 25, ila kuna makafiri wamebaka haki ya watu.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Historia ya Paul Makonda

    Utakuwa GASHO, siyo bure!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Meya Halmashauri ya Mpwapwa- kituko chatokea

    Huyo std 7 ndiye wameona anastahili kuwaongoza,japo ni ajabu kweli kwa karne hii. Cha msingi ni kuangalia upya vigezo vya mtu kuchaguliwa kuwa diwani au mbunge. Haiwezekana eti mtu wa darasa la 7 akasimamie, akajadili, akachambue na kupitisha miswada na bajeti iliyoandaliwa kitaalam na watu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwa Dr. Mwaka

    Nape naye kafanya ziara ya kustukiza ofisi za tff
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Mheshimiwa dc yuko kazini, yaani hivi vyeo vya kupeana bila formula vinatupa shida uswazi!
Back
Top Bottom