Hagar au Hair mama wa Ishmael kijakazi wa Sarai au Sarah mke wa Ibrahim hakua mwarabu alikua ni mmisri, kumbuka Misri pia kulikua na weusi, pengine mama yake Ishmael alikua mweusi, ila asili ya Ibrahim kwa mujibu wa historia yeye alitokea nchi ya Mesopotamia (Iraq),kwa hoja ya kusema Ishmael ni...
Kama wanaweza kuamini Waarabu ndio wenye ardhi ya Kaanan (Israel) na pia wanaweza kuamini Uislam ilikuwepo toka uumbaji wa Adam na sio dini ilioletwa na Muhammad (S.W.A) huwezi kuwaambia ukweli wakakuamini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.