Recent content by shimula

  1. shimula

    JamiiForums Tanzania Wakuu sitaki ushauri , naitaji connection

    Mkuu kama hutojali naomba unichangie mimi.
  2. shimula

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu post gan, kama mwandishi wa taarifa rasmi za bunge me nna abc
  3. shimula

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Haya mambo ya status hata hayaeleweki mwezi wa 9 nilifanikiwa kufanya oral interview mbili kwenye taasisi mbili tofauti baada ya mda status zikawa zinasoma kote SHORTLISTED. Baada ya kupita kama week mbili toka nifanye oral interview taasisi moja ikawa imetoa placement nmekandwa, status ikabaki...
  4. shimula

    JamiiForums Tanzania Majina ya Sensa ya wilaya ya Ubungo yakitoka naomba tuambizane

    Na kwa ubungo usaili ni kesho trh 19
  5. shimula

    JamiiForums Tanzania Majina ya Sensa ya wilaya ya Ubungo yakitoka naomba tuambizane

    Ninayo majina ya ubungo sijui shida itakuwa ni nini sasa
  6. shimula

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    NB: usisahau kusave cheti kilichohakikiwa na wakili
  7. shimula

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Ukitaka kuchange course kuendana na tangazo (Equivalent courses) ili uweze kuapply fanya hivi, 1 nenda sehemu ya academic qualifications 2 nenda sehemu ya saved academic qualifications ( kwenye cheti cha chuo) utakuta sehemu mbili, ya attachment na EDIT, wewe utabonyeza kwenye EDIT baada ya hapo...
Back
Top Bottom