Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba anawalazimisha walimu kuchangia mitihani ya utamilifu ngazi ya mkoa kwa pesa za kutoka mifukoni mwao. Afisa huyo ajulikanaye kwa jina la Samuel Mshana ambaye amehamia kwenye halmashauri hiyo hivi karibuni akitokea Halmashauri ya wilaya...
Kwahiyo ndo maana hawa polisi kwa kushirikiana na wateule wa Rais wanaona ni vema tu kuwatesa wapiga kura wao? Leo hii amekamatwa hata diwani wa kata ya hapa mjini mzee Chipande akiwa anatoka kufuatilia ujenzi wa madarasa unaoendelea kwenye shule ya sekondari Nandonde.
Mkuu, hiyo kamatakata ya jana ilikuwa si ya kitoto. Yaani walikuwa wanapita maeneo ya maduka kisha wanakusanya pikipiki za wateja hasa waliotoka vijijini na kuzipeleka kituoni ambako wengi wao hutozwa faini pasi kupewa risiti halali za EFD.
Mkuu hili jimbo lina watu makini sana, ila kinachoshangaza inapofika nyakati za uchaguzi aidha wa kwenye vyama vya siasa ( hasa kwa chama tawala) utastaajabu hao watu wanaoomba kugombea hizo nyadhifa.
Wengi wao ni wale wasio na elimu ya kutosha hivyo hawana hata uwezo wa kukemea au hata...
Salaam.
Kila anayefuatilia masuala yahusuyo siasa atakubaliana nami kwamba katika mkoa wa Mtwara, jimbo la Tandahimba ndilo linaongoza kwa siasa za upinzani.
Katika uchaguzi mkuu uliopita CCM walilikomboa jimbo hili toka mikononi mwa CUF ambapo mbunge aliyeshinda uchaguzi mkuu wa 2015...
Ni mwanamama asiyezingatia wala kuheshimu sheria, kanuni na taratibu za kiutumishi. Wiki iliyopita amewapatia barua za uhamisho walimu zaidi ya 30 wakihamishwa toka vituo vyao vya zamani kwenda vituo vipya vya kazi. Kati yao hakuna aliyelipwa stahiki zake zikiwemo posho ya usumbufu au ile ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.