Recent content by SHIMBONONI

  1. S

    Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?

    Katika ziara yake Mkoani Kagera kwenye ufunguzi wa Uwanja wa ndege wa Bukoba, Mheshimiwa alijinasibu kuwa yeye ni Mzilankende wa hapo na akataja jina la Babu yake mzaa baba yake aliyekuwa anauza ugolo! Sorry jina nimelisahau ila akasema alikuwa anaishi mtaa wa uswahilini! Na alikuwa maarufu sana...
  2. S

    Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta!

    Mkuu ndo sbb nakwambia tunasimamia mila na desturi! Hakuna issue ya Madaraka ya Utawala!
  3. S

    Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta!

    Kwanini hutaki kuamini? Me ni mmoja wa Watawala wa jadi! Siwezi kusema zaidi cos am maintaining my annonymity!
  4. S

    Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta!

    Pasco, Umesema kweli tupu! Msukuma akizaa mapacha anachezwa ngoma ya "bukango" hawa wanapewa heshima na utambulisho maalumu ns heshima pia
  5. S

    Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta!

    Kwanza hakuna Kabila la Ntuzu, bali ni moja ya Utemi uliokuwa na influence kubwa sbb ulizaa Temi zingine wakati wa migration from "the north" ambalo ndo limezaa jina la kabila lao. Originally Wasukuma walikua Matrillinear, ie mali ukuu na urithi ulikuwa kwa Mama! Mf kama Mtemi akifa anarithiwa...
  6. S

    Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta!

    Pasco, Tuna msemo wa kupambana ili maisha yawe mazuri ili tuweze kuenjoy "walwa" yaani pombe, nyama inaeleweka na (........) yaani kiungo cha uzazi cha mwanamke[emoji1] [emoji2] [emoji3] Sent from my SM-A700H using JamiiForums mobile app
  7. S

    Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta!

    Mkuu Pasco, Chagulaga haiko maeneo yote ya Sukumaland isipokuwa maeneo ya igunga, Kishapu, Meatu, na Maswa! Maeneo mengine yote huwezi kusikia! "Chagulaga" ni nini? Ni kitendo cha Vijana wa kiume wasiooa kumfuata Binti asiyeolewa na kuombwa achague mmoja wa kuongea nae. Hii ni baada ya ngoma...
  8. S

    Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta!

    Kwani Kazi ya Watemi wa Sukumaland na mfumo wao wa usimamizi wa mila na desturi ni nini? We know each other in Sukumalsnd or elsewhere! FYI wasukuma wengi wamehamia maeneo mengine in large groups! Wote wanajulikana and maintain their identity! Sent from my SM-A700H using JamiiForums mobile app
  9. S

    Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta!

    Wasukuma ni 33% ya Watanzania! Please swallow your pride!
  10. S

    Picha: Rais Magufuli na Kitwanga 1992

    Wadau, pichani ni Mhe. Rais J.P. Magufuli na ndg Paulo N. Makolo aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Kishapu kabla ya Fred Mpendazoe!
  11. S

    Msimamo wa Lipumba uheshimiwe; Dr. Benson Bana ni fedheha kwa PhD Holders...

    Dr. Benson Bana alikuwa disqualified Masters ya P S 1994 Udsm ndugu yake Rwekaza Mkandara akacheza mchezo wa Ukabila akamwokoa! I was there! So usitegemee lolote la maana toka kwake! Kizazi cha manadiliko ni kazi yenu kuuelimisha Umma watu wa aina yake wanaoishi kwa fadhila za mfumo huu dhalimu.
  12. S

    Updates: Mbowe ndani ya Kanda ya Ziwa Victoria

    Taarifa ioneshe siku na tarehe badala ya neno "leo" au "kesho"
  13. S

    Waumini Wa Serikali Mbili Tuvuteni Sox Haikuwa Wiki Njema Hii: Tubadilikeni Now!!

    Le Mutus, Salute! Hebu tukumbushe JKT ulikuwa Operation gani na ulikuwa mambo gani kuandaliwa kwenda kupigana vita vya Kagera? So vibaya ukitaja pia force namba yako na namba ya Kikosi chako uli kuthibitisha usemayo!
  14. S

    Watu 7 wakamatwa kuhusiana na mauaji ya Mabina

    I tell you young man take your little time to do a simple research! The said child was accidentally shot at what time? Acha hearsay uujue ukweli!
Back
Top Bottom