Recent content by Shimaje

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kuwa dereva wa Bolt/Uber

    Ninategemea kuwepo dsm kwa miezi mitatu , nina miliki Gari ndogo Toyota Wish sasa issue inayonileta mjini ni masaa 8 per day kuanzia saa 9 nakua free na weekends nakuwa free sasa nawaza huo niwe napiga kazi ya uber/bolt kuingiza chochote kitu. Sasa sijui taratibu zake za kujiunga zinakuaje na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kozi ya 'Occupation and health safety', akimaliza anaweza kufanya kazi gani?

    Habari za muda huu Wakuu? Msaada kwenye tuta nina rafiki yangu kwa sasa yupo South Africa 🇿🇦 sasa Visa/Passport aloingia nayo kule inabidi asome course ya OCCUPATION AND HEALTH SAFETY haiwezekani kubadilisha sasa je course hii akirudi hapa Bongo anaweza kufanya kazi gani? Na issues za kuajiriwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania UDOM baada ya ku-postpone masomo unaruhusiwa kurudi chuo baada ya muda gani/miaka mingapi?

    Ahsante mkuu ngoja niendelee kufatilia Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania UDOM baada ya ku-postpone masomo unaruhusiwa kurudi chuo baada ya muda gani/miaka mingapi?

    Inabidi niende chuo cha kuhamia nipate nafasi then nirudi UDOM nifanye like registration then niombe transfer (within 30 days) ndio naweza kuhama kwa mtu anaejisomesha mwenyew it's easy, lakini kwangu mimi scholarship inanitaka nipeleke admission letter before kwenda University so currently...
  5. S

    JamiiForums Tanzania UDOM baada ya ku-postpone masomo unaruhusiwa kurudi chuo baada ya muda gani/miaka mingapi?

    Process ya Transfer University ni complicated sana Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
  6. S

    JamiiForums Tanzania UDOM baada ya ku-postpone masomo unaruhusiwa kurudi chuo baada ya muda gani/miaka mingapi?

    Habari wana Jamvi, mimi ninaomba msaada nilijiunga Na UDOM mwaka 2021/2022 lakini kwa changamoto fulani nikashindwa kuendelea na Masomo nika postpone nikarudi mtaani sasa nimepata Scholarship nataka kurudi kuendelea na chuo je kuanzia mwaka wa masomo 2021/2022 hadi sasa 2023/2024 bado nitakua...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya ku postpone Masomo UDOM nakua valid kurudi chuoni kwa muda gani?

    Yeah nmekuelewa na hii Bachelor me nilienda kusoma ni ya miaka mi4 so it means nitakua eligible kurudi chuo ndani ya miaka 6
  8. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya ku postpone Masomo UDOM nakua valid kurudi chuoni kwa muda gani?

    Mimi nilianza UDOM 1st year November 2021 lakini kutokana na Matatizo ya nje ya uwezo wangu nikasitisha masomo sasa napenda kujua hii registration yangu as UDOM student inakua valid kwa miaka mingapi, yaan naruhusiwa kukaa miaka mingapi then kurudi tena chuo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Artesunate Preparation/Dilution

    Why in preparation of artesunate we start to add 1 ml of of sodium bicarbonate then we add 5mls of 0.9 sodium chloride? What will happen if you start to add 5 mls of 0.9 sodium chloride then 1 ml of sodium bicarbonate
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kupata ufadhili wa masomo nje ya nchi

    Hata wa Diploma wanaruhusiwa pia
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kupata ufadhili wa masomo nje ya nchi

    Kwanini unaiangalia tuu, na usiombe
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kupata ufadhili wa masomo nje ya nchi

    Wakuu hivi fursa unafanyaje kuzipata? Una-apply moja kwa moja kwenye chuo husika au kupitia serikalini? Au kwa yeyote mwenye ufahami
Back
Top Bottom