Nidhamu na busara kwa wasimamizi na watedaji wa mbuga ya Taifa ya Nyerere pamoja na waendesha huduma za utalii (Tour Operators) inahitajika kwenye suala hili, malaka husika zinapaswa kufikia makubaliano juu na waendesha shughuli za utalii kweye mkanganyiko huu.
Utalii hauhitaji ubabe, utalii...
Huu ni ujumbe kutoka kwa Tour Operator:
"Nimepata tarifa ndege tunazo tumia kuleta wageni Nyerere zinaweza cancel kutokana kutokana na hii changamoto ilio jitokeza week hii hapa nimefanya booking wagen wangu waje kesho naambiwa kesho hamna uwakika wa ndege mbaka sasa sababu abiria wengi kutoka...
Hali Mbuga ya Taifa ya Nyerere inazidi kuwa mbaya, ndege zimeanza mpango wa kusitisha safari za mbuga hii na kupemeleka wageni Mikumi, busara inahitajika kulinda uaminifu wa Tour Operators kwa wageni, kuzilinda hoteli, ajira na mitaji kwa waendesha shughuli za utalii. Sekta hii ni very delicate...
Kwako Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa (Mb),
Hatua za haraka zinahitajika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere/Selous. Mgogoro mkubwa unaanza kuibuka kati ya waendesha utalii (tour operator) na watalii wanaoenda kwenye hifadhi hii. Kitendo cha Maaskari wa Mbuga kuwatoa kwa nguvu...
Umefafanua vizuri sana, kuna watu kama Pascal Mayalla wanatumia vibaya sana kupotosha umma. Spika ameshindwa kutii katiba ya nchi ambayo aliapa kuilinda. Kwa nchi ambazo zipo serious hakupaswa kuwa ofisini mpaka sasa. Mhimili unadhalilishwa.
Kinachomfanya mtu kuwa ni mbunge ni pale anapokuwa ni mwanachama hai wa chama cha siasa na hii ni kwa mujibu wa katiba. Bunge linapaswa KUHESHIMU ibara ya 71(1)(e) ya KATIBA ya Tanzania.
Bunge siyo Mamlaka ya Rufaa ya Wanachama wa vyama vya Siasa. Kwa maana hiyo, Bunge halina uhalali wowote...
Kama sio kazi ya Bunge au Spika kuhoji wabunge wamepatikanaje, as long as Barua ya utambulisho ya NEC imemfikia then ni authentic letter, je bunge linatoa wapi haki ya kuhoji taratibu zilizofuatwa na CHADEMA? Baada ya kupokea barua.
Kwanini haki hiyo wasingekwenda kuomba mahakamani baada ya...
CHADEMA imechukua hatua za kinidhamu dhidi ya waliokuwa wanachama wake. Katika jicho la CHADEMA, Mdee na wenzake sio Wabunge ni waliokuwa wanachama wake waliongizwa bungeni kwa forgery. Jukumu la kuwavua ubunge ni la Spika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
1. Nani alisaini nyaraka zao, nani alijaza fomu kwa Niaba ya Katibu Mkuu wa Chadema?⁸
2. Nani aliwapa barua za uteuzi na fomu namba 12C ambazo zinatakiwa kusainiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha siasa?
3. Nusrat Hanje alikuwa gerezani, kwa kuzingatia sheria za magereza utaratibu upi ulitumika na...
CHADEMA kinapaswa kujenga taswira chanya kwa jamii. Pamoja na mambo mengine political branding ya chama cha siasa inajengwa na udihibiti wake katika misimamo na maamuzi yake. Hakuna jinai yoyote Kutowafukuza wabunge 19 kama walingia kinyume cha utaratibu ni uvunjivu wa katiba ya chama.
Kwa kuwa...
Zipo sababu nyingi ambazo zinaweza kutolewa kupanda kwa bei ya mafuta lakini hili limekuwa gumu kutamkwa na viongozi wa Kiafrika. Kushuka kwa uzalishaji katika bara zima kutokana na ukosefu wa uwekezaji wa kutosha katika soko la juu (upstream market). Masoko ya uzalishaji katika bara zima la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.