Recent content by shilelandumi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku kwenye cages

    Wakuu naombe mnijuze faida za ufugaji huu wa kisasa wa kuku wa mayai kwenye cages! Nimekuwa mfugaji kwa muda kidogo ila tatizo ni kuku kudonoana, nimesikia ufugaji wa cages unamaliza kabisa hilo tatizo pia ubora na wingi wa mayai, kwa wale wenye uzoefu naomba mnijuze kama kuna ukweli kwani...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Unamiliki nyumba 78 halafu mdogo wako hali ngumu

    Kuna ndugu wengine wana tabia mbaya sana hata umbembeje hawafai, unamsaidia kwa moyo matokeo yake anakukashifu mbaya ukute ni kaka na.mke nae anakutusi wanaona wao wana haki ya kusaidiwa na kazi hawataki kufanya..mwishoe mtu unachoka unawaacha wafe na shida zao..usione ndugu anaganga njaa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kuna familia zina laana ya asili

    Nas Asante sana kwa ushauri jr!! Ugumu unakuja pale hela niliyotumia ni mafao yangu pamoja na hela ya mkopo niliyokopa nikiamini tutairejesha kodi itakapoanza Asante sana kwa ushauri jr!! nikisema niwaachie wanangu watateseka kwa vile mafao yangu yote nilipeleka pale na mkopo juu...naumia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuna familia zina laana ya asili

    Jamani hili jambo mbona kama ni mimi mnanizungumzia!!! Yaani najiuliza mpaka leo familia yetu ina laana gani sipati jibu, mimi pekee ndo kidogo nilipata kuinuliwa nikarudi kuinvest nyumbani baada ya kuona hali za ndugu zangu na mama ni tete! Umaskini ulitawala inhali mali za baba...
Back
Top Bottom