Point yako ni nzuri sana,ila uliposema "Tena raisi mwenyewe ndio huyu" umeharibu.Unaonekana una chuki na raisi aliye madarakani.Sasa raisi ana shida gani?Unatakiwa ukubali kuwa hii nchi uraisi ni kupokezana.Na Kila raisi ana mazuri yake na mabaya yake.Uliamini kuwa magu ni mungu na hakuna wa...
Wayahudi wanaamini biblia bna usidanganye.Kuanzia kitabu cha mwanzo hadi Malaki hiyo wanaamini na kuvifuata pasi na kuacha hata nukta moja.Wao hawaamini injili tu.
Watu wanaongea fact,wewe unaleta siasa!Tanzania kuna mtu anazuiwa kunyoa kiduku?Watu wanazuiwa kwenda nje ya nchi?Mara ngapi raisi anahutubia huku baadhi ya Watu wanasinzia?Waliwahi kupigwa risasi?Kuongea kiingereza ni kosa la jiai hapa bongo?Kuangalia muvi za nje he?Tungewajua kina Anodi,Van...
Hapo ndo mnapofeli.Kwa huo na wewe unawahusudu sana waisraeli sio?Ukisema Waisrael walikuwa Waislam maana yake hata wewe unawahusudu.Waistael walikuwa watunza Sheria ya MUNGU (torati).Sasa tangu lini waislamu wanatunza amri za MUNGU!Tafuta taifa lolote duniani kama utapata taifa linalotunza...
Hizi ni propaganda tu za kupotosha ukweli.Huwezi kuutofautisha uyahudi na Waisrael.Dini asili ya Waisrael ni Wayahudi kama ilivyo dini ya Induism kwa wahindi.Muisrael kuwa muislam au mkristo hiyo haiondoi ukweli kuwa Waisrael dini yao ya asili ni Judaism.Kama sivyo Kwa nini dini ya kiyahudi...
Kwa akili ya kawaida:Waisrael lugha yao asili ni kiebrania,na ndicho kilichotumika kuandika vitabu vya Mungu Kwa mkono wa manabii.Leo hii taifa linalozungumza kiebrania kama lugha yao ya taifa ni hao hao unaodai sio waisrael.Unatakiwa utuambie Waisrael wenyewe wanapatikana nchi gani Kwa...
Unaposema waisrael wa kweli ni Wapalestina,Wasyria na Lebanoni ndo unazidi kutuhakikishia kuwa mungu wa Quran ni muongo.Kwenye Qr 5:82 inasema walio maadui na Waislam ni mayahudi.Na leo hii tunaona Wayahudi wanachukiwa sana na waislamu duniani kuliko taifa lolote duniani.Leo unapotuambia...
Unaweza usiamini ila huu ndo ukweli wenyewe.Shetani hampendi mwanadamu hata kidogo.Juhudi zake ni kuhakikisha anamuangamiza Ili kumkomoa Aliyemuumba.Haonekani, ila kazi zake zinaonekana.Anawatumia wanaadamu kuwashawishi Kwa sababu zisizo na kichwa Wala miguu,waue wenzako,Kwa faida yake.Hata hao...
Emechanganya ukweli na uongo.Yesu haji kumpigania mtu.Anakuna kuwachukua wateule wake(YOHANA 14:2).
Halafu Yesu Hana haja na Yerusalemu hiyo ya uyahufi.Yerusalemu mpya utashuka kutoka mbinguni na watakatifu wake aliowakomboa.
Watakatifu wataishi ktk mji huo mile zote.Vilio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.