Recent content by shijan mtunga

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Mimi naunga mkono hotuba yake na maelekezo yake maana tulkizoea tu kwamba kila mwaka lazima kuongezwa mshahara hata kama hujazalisha. Hii ilikuwa ni zambi kubwa sana maana mtu anaishi kwa kuhesabu miaka ya kazi na nyongeza za mishahara bila kubuni mbinu ya tija yake kazini. Lakini pia ni ukweli...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Ni bora yeye ameonyesha uthubutu uliowashinda wengi maana waliopita wote walikuwa waoga kwa kisingizio cha mtandao wa watu Hao ni mkubwa big up Makonda
  3. S

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Jamani tuambizane ukweli makonda ni kijana jasiri sana na mungu wake bado ni kijana sana ndio maana yuko active muda wote,namuomba asiogope binadam yeyote maana ana nguvu ya mungu inamlinda.wauza madawa ni binadam haha so fanya unacho weza kusaidiana Taifa mana hakuna atakae kuwa na uchungu nje...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya amshinda Stephen Wassira kwenye Rufaa kesi ya Ubunge

    Amekomesha.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tukio la Magufuli Mbeya Vs Tukio la Lowassa Tanga, matukio haya yanajenga picha gani akilini mwako?

    Mawazo yenu nimeyapenda sana, nadhani kinachowasumbua ni mahaba tu, kwani kuzomewa ndio kupiga kura? je watu hao wanao sadikika kuwa ni wengi na hata kufanya watu kuzimia walikuwa kwenye uwanja wenye kubeba watu wangapi? jiulize sana wakati unafanya tathimini zako kabla ya kutoa hoja. naamini...
  6. S

    JamiiForums Tanzania John Mnyika kupata pigo jimbo la Kibamba

    Jamani kwanini tuitane mapunguwani kwa ajili ya mnyika? kwa nini tusisubili wakati wa kupiga kura ndo tujue punguwani ni yupi na asie punguwani ni yupi? naomba busara itumike.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kura nyingi vijijini ni za Lowassa au Magufuli?

    Kaka shida vijiji vyetu vingi havina umeme, matukio hawayapati kwa wakati watapigia ccm kwa picha ya lowasa, wengi wanajuwa fisadi huyu bado yuko ccm.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole live Channel Ten: Urais katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Jamani kama hauna muda wa kumsikiliza sasa kwa nini utwambie cc? si ukae kimya na wala usiisogelee tv? kama hupendi kitu hutakiwi kukifatilia maana kitakusumbua. halafu matusi hayajengi cha muhimu ni kutoa elimu ulio nayo watu wengine wanufaike.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa kushinda Oktoba, Maalim Seif kushinda kwa asilimia 51.9%

    Hizo tafiti zimefanyika lini? na walizingatia vitu au vigezo gani kuonyesha lowasa atashinda? au ni hii safari yake ya kwenda kwenye magenge yenye kipindupindu?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Jamani kuweni makini ili tupate mambo mazuri kutoka kwa hawa watu ni muhimu sana. tusikashifu chukuwa yaliomazuri.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Lowassa kama ndio hizi, Kazi ipo

    Haiwezekani uwe mtendaji tu bila kutoa maelekezo ya utendaji wenyewe, lazima unao waagiza kutenda wasikie ulicho agiza kwa kauli. mdomo ukiwa mzito watakuelewa kama unataka watende? acheni usanii ndg zangu.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Haya ni mambo ya kawaida tu, mtashangaa sana matokeo, mjiandae kukata rufaa hizo ndo zenu mkishindwa.
Back
Top Bottom