Recent content by Shija

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dr. Bujugo na Umalaya wa Kinondoni Watoto Wetu Wapo Salama Green Acre?

    Atakua alikua anaingia na vikaratasi uyo...........
  2. S

    JamiiForums Tanzania Walimu Wapya Lakini Watafundisha Nini?

    Eeeee kweli kiswhili wanataka iwe lugha ya kimataifa aya mkuu kwa takwimu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hizi post za ualimu,zitanitenganisha na mke wangu mtarajiwa!

    Pole sana kwa walimu hawa walivyo na tamaa nakuonea huruma,nenda kafanye kazi kama wako basi itakua ingawa nisizungumze sana kafanye kazi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hizi post za ualimu,zitanitenganisha na mke wangu mtarajiwa!

    Pole sana kwa walimu hawa walivyo na tamaa nakuonea huruma,nenda kafanye kazi kama wako basi itakua ingawa nisizungumze sana kafanye kazi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mawazo kwa ndugu yangu huyu

    Na je baada ya hapo aweza kufanya kazi zipi hasa?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mawazo kwa ndugu yangu huyu

    Jamani nina ndugu yangu anataka kusoma bachelor of science in irrigation and water resources engineering pale sua,mim sina uelewa wa kutosha juuu ya kozi iyo na je ina future,mwenye kuelewa vizuri anisaidie ili nami niweze kumsaidia uyu ndugu yangu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania HOJA YANGU: Mfumo ulio tumika kwa matokeo mwaka huu CSEE ni mfumo BORA KABISA{BEST EVER}

    Kama serikali haijawah tumia ca walikua wanapeleka wapi? ca hzo mana zilikua zikikazaniwa sana ,Lakina kwa ufupi tuache kutetea makosa kwan matokeo ni mabaya sana kama tunafuata academic ifanye kaz yake,ila kama ushabiki wa kiasisa fresh 15% imeongezeka,Leo mnasema 15% imeongezeka ila taifa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo yanapo zidi hitimisho ni kukimbia familia
  9. S

    JamiiForums Tanzania Stupid question, stupid answer

    Saa sita usiku anakuuliza umelala? We mjibu hapana niko nje naota jua
  10. S

    JamiiForums Tanzania NECTA jamani nina C masomo 5 na B masomo 2 afu nina division 4 ushauri jamani

    Wewe dogo embu tuweke wazi manake hainingii akilini uwe na ufahuru uo alafu uwe na lifour haya weka number tukupe matokeo manake na kuchanganyikiwa kumo
Back
Top Bottom