Recent content by shifta

  1. shifta

    Kwanini sikubaliani na alichokisema Rais Magufuli kuhusu Jumuia ya Madola

    Leo nimelazimika kusema haya ili angalau mzee huyu apunguze usanii na ghiriba kwa WaTz kuhusu serikali hii. Mtakumbuka siku ya kufungua Bunge na kumuapisha Waziri Mkuu mpya Mhe. Kassim Majaliwa, Magufuli akiwa mgeni rasmi alichezea akili za wananchi kwa msaada wa Ndugu Buhohela akiwa pamoja na...
  2. shifta

    Wema Sepetu, Sabuni utakayoogea ndio utakayonukia

    Lord have Mercy...duh
  3. shifta

    Wema Sepetu, Sabuni utakayoogea ndio utakayonukia

    hawezi kusamehewa bila kukiri kosa
  4. shifta

    Home of AC Milan, Official Thread

    Adriano Galliani is reportedly due to fly out to Monaco to make contact with AC Milan target Geoffrey Kondogbia. AC Milan have been in a protracted chase of the Monaco midfielder’s signature
  5. shifta

    Home of AC Milan, Official Thread

    French Ligue 1 champions Paris Saint-Germain have identified Napoli forward Gonzalo Higuain as a potential signing, in case the incumbent forward Zlatan Ibrahimovic decides to leave the club.
  6. shifta

    Home of AC Milan, Official Thread

    Colombian striker Jackson Martinez has tweeted his thanks to Porto as he gets ready to decide between a move to Arsenal or AC Milan.
  7. shifta

    Home of AC Milan, Official Thread

    AC Milan star Nigel De Jong is close to signing a new deal to extend his stay in Serie A
  8. shifta

    Home of AC Milan, Official Thread

    Sevilla star Kevin Gameiro is another striker on the shortlist at AC Milan
  9. shifta

    Home of AC Milan, Official Thread

    Damiani rebukes AC Milan and Juventus for turning down Kondogbia in past
  10. shifta

    Wema Sepetu, Sabuni utakayoogea ndio utakayonukia

    huyo anajisumbua tu
  11. shifta

    Wema Sepetu, Sabuni utakayoogea ndio utakayonukia

    maisha yamebadilika... hakuna watu wanataka kuongozwa na mtu asiewajua nyakati za shida
  12. shifta

    Wema Sepetu, Sabuni utakayoogea ndio utakayonukia

    na ndio utagundua kuwa wana utimamu kichwani ila wanajiwehusha tu
  13. shifta

    Wema Sepetu, Sabuni utakayoogea ndio utakayonukia

    mkuu ule uzezeta kwa wabongo unaelekea kupona... kumbuka Shigongo alivyohaha kusaka ubunge jimboni kwake, alipeleka mpaka akina Ray na Kanumba ili mradi tu akateke hisia za watu. lakini siku ya hukumu ilipofika akapiga chafya huku kafumbua macho
  14. shifta

    Wema Sepetu, Sabuni utakayoogea ndio utakayonukia

    hii ni kwinini... chungu kumeza lakini ndio yenye kuponya.
  15. shifta

    Wema Sepetu, Sabuni utakayoogea ndio utakayonukia

    kama wewe umesoma basi na yeye ameshaisoma... maana wewe na yeye ni gagulo na sidiria. japo chungu lakini ndio dawa.
Back
Top Bottom