Recent content by Shidundufilu

  1. S

    GE2020 Sera ya majimbo itaua utaifa na uzalendo

    Hivi kuna sera mbaya kama ya mtoto wa kambo- Ukichagua Upinzani sipeleki maendeleo' na kweli sehemu za wapinzani hakuna kitu kinaenda. Mbona sio deal leo iweje sera ya majimbo yenye ugatuzi wa madaraka iwe shida? Nani anaua mshikamano, kati ya hizo sera mbili?
  2. S

    Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

    Wewe unaejielewa hujui kuelewa na pengine unashangaa inakuwaje...wale wana halmashauri...lakini nikusaidie tu hebu waulize nduguzo hiyo miundombinu imejengwa kwa fedha za nani? Pengine itakusaidia kujifunza na kujielimisha. Sio kila kitu kinatoka kwa kodi yako. Ukijua chanzo cha fedha, njoo...
  3. S

    Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

    Wewe na umekuwepo Kigoma lini? Ashindwe kujenga hata kipande cha Manyovu Kasulu aje aweke taa kwa Mpinzani ambako hana faida nako? Sijawahi mkubali Zitto kwa kuwa hutanguliza maslahi yake binafsi lakini kwa hili hapana. Amekuwa kuwadi mwema kwa Kigoma. Mkuje na ngonjera nyingine.
  4. S

    Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

    Ndio shida yenu, mpo kwa ajili ya personalities...asemae ukweli basi ni mpizani. Mimi sijawahi kuwa ACT wala kuwaza. Lakini kama kusema ukweli ni kuwa ACT basi na iwe. Suala sio taa kuwa kitu kikubwa, ni kuwa MaCCM ndio wanatishia watu kuwa hawataletewa taa wasipochaguliwa. Jibu ni kuwa taa zipo...
  5. S

    Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

    Sasa mbona tunaringishiana kumbe zipo kila mahali....:cool::cool:
  6. S

    Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

    Sasa mwananchi na Mkuu wa nchi nani anatakiwa aijue nchi-eneo lake sana...yaani wewe wa kuja kisa tumekasimisha madaraka basi ujue vumbi la ndani wapi limejificha kuliko mimi mwenyenyumba? Hebu tuweni na heshima na wananchi, wanajua nani amekuwa mkombozi wao. Hizi nyingine ni kelele tu
  7. S

    Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

    Inashangaza mno, amekuwa serikalini...nenda kwao Buhigwe kaangalie alichofanya....mwacheni Zitto aitwe Mwami...jamaa ni mhuni sana kwenye maslahi ya Kigoma, yupo tayari kuuza timu ili Kigoma ipate kitu. Hongera Zitto
  8. S

    Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

    Unapafahamu Buhigwe lakini wewe....acha kudanganya watu... Zitto ni Kigoma na Kigoma ni Zitto. Sijawahi mkubali kwa baadhi ya mambo ila amepafanya Kigoma kuwa tofauti. Wakati nyie mnatishiwa taa na rami za mitaani Kigoma zipo. Hebu kukubali basi japo kwa machache mtu kafanya. Hongera Zitto kwa...
  9. S

    GE2020 Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA hakuna

    Naomba kujua jumla ama mgawanyo wa wananchi wapiga kura..wanachana n idadi yao na wasio wanachama... Ukitaka kujua chama chako sio cha wanachama tu ni mbinu ipi itakusaidia kujua kuwa unakubalika na kwa wasio wanachama... Kisha njoo na hitimisho utuonyeshe kwa vigezo vyako nani anakubalika...
  10. S

    GE2020 Dar: Helkopta ya Kampeni ya Tundu Lissu, yanyimwa kibali cha kutumia anga, ni baada ya kuomba kibali hapo jana

    Ila huu ni uzembe, ni kama hawakujipanga..yaani kama hakuwajua kuwa Mwaka huu kutakuwa na uchaguzi na watatumia vifaa vip waviandae...nahisi wanahujumu wananchi wenye kupenda mabadiliko...
  11. S

    GE2020 Fao la Kujitoa ni Turufu nyingine kwa Wagombea Urais

    Kuna Mbunge alibatizwa kwa jina la Kikokotoo kama sikosei na alikuwa wanatoka upinzani...heshima kwao
  12. S

    GE2020 Baada ya watanzania kumchagua Magufuli kwenye Uchaguzi Mkuu hakika huo ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa Upinzani

    Nadhani unamanisha kuwa upinzani utaongezeka mara dufu, maana rais wangu ni rais wa visasi...anasema waziwazi hatapeleka maendeleo mahali watachaguliwa wapinzani... Ingawa alikuwa anakuwa rais ambae angefuta kweli upinzani kama tu serikali yake isingekuwa ya chuki na visa. Ila akirudi...
  13. S

    GE2020 Fao la Kujitoa ni Turufu nyingine kwa Wagombea Urais

    Hii kitu kwa kweli inamuumiza mno, kama hawataki mtu ajitoe basi kuwe na uwezakeno wa kuikopa hiyo michango yako japo 80% ya kile mtu kachangia ajifanyie maendeleo yake. Ile michango inakuwa ndio dhamana yake. Ingefungua Ajira nyingi na watu kwa watu kujiajiri na kutoa fursa kwa wengine-new...
Back
Top Bottom