Recent content by Shibhona

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa Dar jiandae kupata mvua siku 10 mfululizo

    Dar tatizo siyo mvua. Tatizo ni ukosefu wa miundo mbinu na iliyopo imechakaa sana. Hakuna ukarabati wa kukidhi mahitaji unaofanyika.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Unapoweka malengo kuwa na msimamo kama simba anayekimbiza mawindo

    Maisha yamebadirika, Hata zama zimepita kadri maendeleo yanavyokuja na ndiyo hivyo gharama za kuendesha maisha yanaongezeka. Juhudi na maarifa zinahitajika ili kuendana na kasi ya maendeleo ya tekinolojia.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Unapoweka malengo kuwa na msimamo kama simba anayekimbiza mawindo

    Na siku zote kupanga ni kuchagu, katika Maisha wewe mwenyewe unaweza kuwa adui wa maendeleo yako. Na kuanza kutafuta mchawi.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kazime Healthly food and Cartering services

    The fast growing company in Town is near to you, You may request health and good food services from us. We made the Test your dreaming to meet one time. Our company is offer Lunch and Dinner you may place booking and send us a food request. But also we supply food/delivery from 20 people...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kanuni za mitandao, radio na TV: Kama simu yako haina password, faini ya milioni 5, jela mwaka mmoja au vyote kwa pamoja

    Kuna elimu gani waliyo itoa kwa jamii? na nini madhara ya kutoweka neno la siri yaani nywira.
Back
Top Bottom