Recent content by Sherusheru

  1. S

    JamiiForums Tanzania ACACIA: Response to Allegations on Gold/ Copper Concentrate Exports

    Kichekesho yani mtu anakuibia halafu anakuomba msahama kisha nawe unakubali yanaisha
  2. S

    JamiiForums Tanzania ACACIA: Response to Allegations on Gold/ Copper Concentrate Exports

    Mliipitisha hiyo mikataba kwa mbwembwe mkimbeza kila aliyejaribu kuhoji leo mnarudi kutuhadaa eti tunaibiwa sana wakati nyie ndio mliohalalisha wizi huo nyambafuu!!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa sakata la mchanga litatugharimu

    tulishameza ndoana mkuu viongozi wa CCM walishapiga vyao mapema
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mkapa defends Tanzania's minerals policy

    kweli mkuu alituita wapumbavu kwa kuwa alituibia sana tukawa tunampigia makofi tu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha uzalishaji wa dhahabu ktk migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu

    sio rahisi kama unavyovunja kibubu chako
  6. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli ataligharimu taifa, wengi wanafurahia pasipo kujua athari mbeleni

    kwani mnaenda mbele
  7. S

    JamiiForums Tanzania ACACIA ni wezi, tukiungana hawana uwezo

    Vipi ile meli ya samaki alipiga mahesabu ya karibu ndio maana nchi ikalipa fidia
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hotuba ya Rais Magufuli kuhusu Makontena ya Mchanga, inatia shaka ya rule of state

    haambiliki hujamsikia akisema yeye hapangiwi
  9. S

    JamiiForums Tanzania RC Gambo ameivua nguo serikali na mamlaka iliyomteua

    kwa hiyo nikiwaalika waandishi wa habari kwenye msiba imekuwa suala la kisiasa?? mbona kwenye msiba wa ndugu yake kikwete walikuwepo? au misiba ya familia za watawala ndiyo pekee yenye haki ya kuwa na waandishi wa habari? mene mene tekeli na peresi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zinazodaiwa kuwa sababu za RC Meck Sadiki, Jaji Mujulizi na Jaji Upendo Msuya kuacha kazi

    Kesi nyingi za serikali zinazopelekwa mahakamani ni vichekesho kwani huwa na mapungufu mengi kuanzia kwa mwendesha mashtaka hali inayopelekea wahalifu wengi kuachiwa kwani majaji wanakosa vifungu vya kisheria vya kuwatia hatiani
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kuwa Mnyika ndio amesababisha mahakama kutoa zuio la bomoabomoa Morogoro road

    Yani Bashite angesema ndiye kawezesha zuio angeshangilia meno nje nje!!!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hili ndio CCM hawataki kuliamini, Lowassa unabii wako utatimia!

    Walibya wamekuambia hivyo? au ni mtazamo wako? je ni tabaka lipi linalolalamika, watawala wa zamani au wapya? tambua kuwa enzi za Gaddafi kuna tabaka lililokuwa linafaidi na tabaka lililokuwa linanyanyasika sasa upepo umebadilika
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Dhambi hatuwezi kuipa jina zuri na baadae tukaitukuza

    ila waliowapa mimba kuendelea na masomo ni sawa......
Back
Top Bottom