Recent content by SHEMEJI UNATUACHAJE

  1. S

    Hivi Adam Malima bado ni Naibu waziri?

    JK kapandisha vyeo mpaka vihiyo kama nyalandu lakini Adam yuko palepale. Kazi uzinzi tuuu
  2. S

    Adam Malima ni 'mbumbumbu?'

    Hythe inasemekana alitelekeza familia yake uko marekani kisha kaenda kuoa mgala bongo hana maana huyu
  3. S

    Adam Malima kutangaza nia ya kuwania Urais

    Ingekuwa Asanterabi Malimaw ningeamini lakini huyu anayependa wake za watu Noooo Marehem kighoma malima must be turning on his grave kwa upuuzi anaoufanya adam
  4. S

    Kikwete amkemea DC Makonda

    Video iko WaPi?
  5. S

    Dr. Kimei wa CRDB: Kuporomoka kwa shilingi kuna faida kubwa kwa Watanzania

    Analipwa Dola laki 1 kwa mwezi minus bonus and other expenses
  6. S

    Formula yangu ya maendeleo Tanzania hii hapa

    Kwani mps wetu si wanawakilisha majimbo yao? Let's stick with the issues za msingi . Bumbuli na Kule singida kwa dewji wamefikia WaPi?
  7. S

    Formula yangu ya maendeleo Tanzania hii hapa

    Mimi mainstream kila jimbo au wilaya liwe na development and. Economic plan Yao. Nathaniel this is what January Makamba has tried to do in Bumbuli Dukakis success rate yake
  8. S

    Formula yangu ya maendeleo Tanzania hii hapa

    Devolution tayari tunayo in a a form of decentralized govt wenyewe tunaiiita TAMISEMI ila tatizo siyo max japo naelewa wanaruhusiwa kujitawala kwa almost kilakitu Kuhusu rushwa nimesema ifanyike independent oversight lakini tunaweza sana ila tunajiendekeza tuuu
  9. S

    Formula yangu ya maendeleo Tanzania hii hapa

    Majimbo ndio yale yale yanayowakilishwa na wabunge Tanzania. Tuache politics devolution tayari tunayo through TAMISEMI
  10. S

    Formula yangu ya maendeleo Tanzania hii hapa

    Asante kwa kuliona hili
  11. S

    Formula yangu ya maendeleo Tanzania hii hapa

    Simple. Serikali ishafanya jitihada za my decentralize uchumi na njia za uchumi. In addition tuna kitu kinaitwa TAMISEMI sasa watu wa mikoa kama mwanza Iringa Pwani etc na wilaya zao wanaweza kutengeneza ba kutafuta economic and development partners na plans zao za kujikwamua without...
Back
Top Bottom