Recent content by shemegiwifi

  1. S

    GE2015 Unadhani kwanini Reginad Mengi kazomewa pale alivokuwa akipewa cheti Magufuli?

    Sababu ya kushindwa ktk uchaguzi huu ni ukawa hawkujipanga kwa kiti cha urais ndio haya yalio tokea wameazima mgombea
  2. S

    Mali alizochukua Mkapa na familia yake

    Hakuna aliye msafi isipokuwa kuna nafuu- ya mtu name mtu
  3. S

    Updates: Mikutano ya Lowassa mkoa wa Dar Es Salaam - Tarehe 7 Septemba, 2015

    Ishu sio watu kujaa viwanjani ishi kupiga KURA 25oct'.
  4. S

    Tunachimba visima bei nafuu sana

    Mimi nipo dar nakuomba sana tuwasiliane nahitaji sana uduma yako Fanya tuonane
  5. S

    Tunachimba visima bei nafuu sana

    Ndugu naomba tutafutane Nina shida sana name Mani mupo wapo tuna onana vipi
  6. S

    Tafadhali Lowassa: Achana na 'active politics'; Bakia mshauri wa Taifa; furahia 80% yako

    Nikweli MZEE mwanakiji'kama hajui wabongo w wana mpotezea muda bora ukafanye biashara zako hakuna aliye mkweli ktk siasa zetu bongolendi
  7. S

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Magufuli ndio chaguo letu kwa watanzania.
  8. S

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Hata ukipanda guta'maamuzi ni Oct 25,sifikiri kula yangu kuitupa ovyo kamwe'
  9. S

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Wewe panda daradara hata kama huja dai chenje nee a
  10. S

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Ndugu mbona umechelewa hataUK ITE MBE a kwa boda unatujanja tuu'ulikuwa wapi kipindi chote Leo
  11. S

    Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

    Tukiyasikia kwa wezetu sis tuchukuwe tahadhali kabla wapo watu hufuata mkubo Vila kujuwa wankwenda wapi we hukusoma hata f4 hukufika alafu unadanganywa utapata ajira.ebu nijuzeni niserikali gani wanaajiriwa wasio na elimu jiulize we we kijana
  12. S

    Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

    Ndugu tunako elekea huku siko sasa tusifuate mkumbo tujiulize tupo wapi name tunaelekea wapi kisiasa tutapoteza amani yetu
Back
Top Bottom