Recent content by Shemasi Jimmy

  1. Shemasi Jimmy

    Kama Biblia ingeendelea kuandikwa; je, wewe na mimi tungeandikwa kwa sifa gani ndani ya Kanisa?

    shalom ndugu! ubatizo sahihi ni ule wa maji mengi, kama alivyotangulia kutuonesha Bwana wetu Yesu kristo pindi alipobatizwa na Yohana mbatizaji. hata hivyo asili ya neno lenyewe yaani ubatizo limetoka katika lugha ya kiyunani BABTIZO likimaanisha ''ZAMISHA''
  2. Shemasi Jimmy

    Lijue Baraza la Sanhedrin lililotengeneza mashitaka ya kumuua Yesu

    unahitaji mda wa kutosha ili kuelewa Uungu wa Yesu. 0659 611 252 nipigie ukiwa na muda tutajifunza kwa pamoja
  3. Shemasi Jimmy

    Lijue Baraza la Sanhedrin lililotengeneza mashitaka ya kumuua Yesu

    karibu useme matarajio yako tutashiriki kwa pamoja kujibu kulingana na jinsi Mungu atakavyotuongoza
  4. Shemasi Jimmy

    Lijue Baraza la Sanhedrin lililotengeneza mashitaka ya kumuua Yesu

    shalom ndugu! lengo langu kama mwandishi sio kusimulia kifo cha Yesu bali kundi la marabi walioitwa Sanhedrin jinsi walivyohusika katika kuandaa mashitaka ya masihi. unaweza kuuliza kile ulichokua unategemea na nitakitolea ufafanuzi kwa kdri Mungu atakavyonijaalia.
  5. Shemasi Jimmy

    Lijue Baraza la Sanhedrin lililotengeneza mashitaka ya kumuua Yesu

    Ruksa kuongeza ndugu ili tupate kujifunza wote.
  6. Shemasi Jimmy

    Lijue Baraza la Sanhedrin lililotengeneza mashitaka ya kumuua Yesu

    LIJUE BARAZA LA SANHEDRIN LILILOTENGENEZA MASHITAKA YA KUMUUA YESU Wote waliokuwepo katika Baraza wakasimama, wakampeleka Yesu kwa Pilato. 2 Wakafungua mashtaka yao kwa kusema: “Tumemwona huyu mtu akipotosha taifa letu. Yeye anawaambia watu wasi lipe kodi kwa Kaisari na kujiita kuwa yeye ni...
  7. Shemasi Jimmy

    Waberoya mfano wa kuigwa kwa wakristo wa sasa

    hapana mimi ni mwanafunzi wa chuo cha biblia BEAR VALLEY
  8. Shemasi Jimmy

    Tafuta maarifa uwe huru

    Kwenye ubongo wako kuna haka kabutton kanaitwa NUCLEUS ACCUMBENS. Haka ndio kanakufanya unakuwa mtumwa wa pornography, mlevi wa kupindukia, madawa ya kulevya, kamari na kubeti, vyakula vya hovyo, na addiction nyingine zote. Ukicheza na haka kanakuharibia maisha for good!
  9. Shemasi Jimmy

    Jinsi ya kushinda kabla ya kushinda

    Na Shemasi Jimmy 0659 611 252 Basi, imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni uhakika wa mambo tusiyoyaona. Waebrania 11:1 Watu wa dunia hii hutangulia kushinda kisha wakashangilia lakini mtu wa Mungu hushangilia kabla ya kushinda kwa kua wanahakika ya kua kila walioliomba kwa Imani...
  10. Shemasi Jimmy

    Kubali kuandaliwa

    KUBALI KUANDALIWA Na Shemasi Jimmy 0659 611 252 Halleluja watu wa Mungu, maandiko yanasema apendaye mafundisho hupenda maarifa, karibu tujifunze kwani elimu haina mwisho. Leo tutajifunza kwa habri ya kukubali kukaa chini ya mchakato au maandalizi katika kuelekea hatima ya ndoto zako huku...
  11. Shemasi Jimmy

    Kubali kuandaliwa

    Na Shemasi Jimmy 0659 611 252 Halleluja watu wa Mungu, maandiko yanasema apendaye mafundisho hupenda maarifa, karibu tujifunze kwani elimu haina mwisho. Leo tutajifunza kwa habri ya kukubali kukaa chini ya mchakato au maandalizi katika kuelekea hatima ya ndoto zako huku tukimtazama Yusufu...
  12. Shemasi Jimmy

    Tafuta uzuri katika ubaya

    wewe ni baraka ndugu yangu. endelea kubarikiwa
Back
Top Bottom