Recent content by Shemas

  1. S

    JamiiForums Tanzania Bidhaa kutoka INDIA

    Janja janja huyo nilishafanya nae biashara akanitapeli. Bahati nzuri bidhaa nilifanikiwa kuagiza mwenyewe toka huko India mpaka kuja tanzania
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je, FedEx wana ofisi pale airport Dar? Kuna anaefahamu mizigo ya FedEx inafikia ofisi ipi Kwa ajili ya custom clearance

    Mi mzigo ulipofika tz walinichaji gharama za documents toka ofisini kwao kama 88k then wakaniambia kama Nina agent wakunifanyia clearance Basi aende akachukue doc ili aweze kuendelea na clearance
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kuagiza mzigo kutoka India Kuja Tanzania

    Ulifanikiwa kuagiza toka India?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Wajuzi wa Alibaba naomba mnijuze hapa Bei halali hapa ni ipi maana naona Kuna tsh 9956 , na Tsh 60285
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nakushukuru mwlm Mzigo tuliogiza toka India ulifika salama
Back
Top Bottom