huyo Mchungaji R.I.P huko aliko nadhani baada ya yeye kutaja mikakati husika wakati tunaelekea kwenye uchaguzi mikakati ile haikuwahi kukwama imefanikiwa sana na kwahilo Rwanda imeshinda, natamani sana mtu huyu angekuwepo kwani alikuwa mstari wa mbele kutibua na kutaja mikakati mbalimbali na...
hivi si sahihih kusema nchi ya viwanda italetwa kwa kutumia michango yetu sisi wavuja jasho wa nchi hii huku nikufilisika na kukosa dira na maono, haiwezekani mfanyakazi aliye na ajira isiyo na uhakika akaja achishwa kazi kabla umri wa kustaafu eti asubiri huku ni kumnyima haki. Ndo maana...
Nikweli UKAWA ndo mwarubaini wenyewe hebu ona mwenyewe jinsi gani CCM wanavyokula matapishi yao (1)SHULE BURE wakauliza mtapata wapi fedha wakaonye njia moja wapo nikubani MATUMIZI (2)FUTA SAFARI ZA NJE na fanyike zile zenye tija tu kwa nchi (3)kufanya mapitio upya sheria zenye...
yale yale ya Omari Mahita na majambia uchaguzi wa mwaka 2000 serikali ilibuka na propaganda za ati CUF imeingiza makotena ya majambia ondoa hiyo propaganda ya kizamani badilisheni mbinu mwaka huu mmenoa Lowassa anaenda kuwa Rais hatutishwi na siasa zenu za maji taka ama kweli imeishiwa.
Kiama Chao Hata Wafanye Nn Hawezi Zua Mafuriko Ya Kura Wataiba Watashindwa. Watafitini Hataweza MACCD. NA WATAKUFA KAMA KANU kwani walizoa vya bure kupitia halmashauri za wila iwe kampeni au ziara za kawaida au kampeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.