Baada ya matokeo na CCM kuangukia pua mwanachama wa CCM afariki dunia

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Mama mmoja amefariki dunia baada ya kupata matokeo kuwa CCM imeangukia pua mama huyovambaye Ni mwenyeji wa mkoa wa Tanga wilaya ya Lushoto alifariki Jana jioni baada ya matokeo ya awali...

Pole sana wanaccm kwa kuondokewa na mpendwa wenu...
 
malofa utayajua tuu yaani hata mtu akifa akinywa ulanzi mtasema amekuga kwa sababu ya ccm
 
Mama mmoja amefariki dunia baada ya kupata matokeo kuwa CCM imeangukia pua mama huyovambaye Ni mwenyeji wa mkoa wa Tanga wilaya ya Lushoto alifariki Jana jioni baada ya matokeo ya awali...

Pole sana wanaccm kwa kuondokewa na mpendwa wenu...
Umeporomoka kimaadili kwa kiwango hiki?
 
Ndugu, matokeo ya Jimbo GANI? Hebu fafanua maana kwenye habari yako iyo kitu haipo sawa sawa....
 
ww acha kejeli huyo ni mama mkwe wangu wala kifo chake hakina uhusiano na matokeo ya arusha ntake radhi na uache zihaka muogope Mungu.
 
Back
Top Bottom