Yeye ameendelea kununua ndege..je zina tija!? Yeye ameendelea kujenga mwendokasi wakati huduma yenyewe haina ufanisi..kule mbagala hadi miundo mbinu inabomoka..kuna haja ya kuendelea kujenga? Atakuwa tayari kuacha akiambiwa kwa sasa haina tija.?
Kisha si huyu huyu alimuambia profesa Mkenda...
Hao unaowataja walilifanyia nini taifa walipokuwa na nyadhifa za kitaifa..?Magu hakuwa anaendekeza ushkaji kwenye mambo ya msingi.
Mtu ana faili chafu, mbinafsi kisha unampitisha mambo ya msingi, si bora akalee wajukuu.
Ardhi ilikuwa inachimbuliwa kila mkoa, kata na kijiji.. huju tanesco unapishana nao kijiji kwa kijiji..mama ndalichako yupo bize na kukarabati shule na vyuo vikongwe.
Miradi ya maji ilipamba moto hatari..traffic na wafanyakazi wa uma walikuwa hawapokei rushwa kama hawakujui, ukiingia ofisi ya...
Magufuli alitumia sayansi ya siasa, hakutaka machafuko na dhoruba ndio maana akasimamisha shughuli za kisiasa zibaki za majimboni ili kuwanusuru wapinzani na hizi kadhia za polisi.
Huyu jamaa anajiona famous sana nchi hii..upinzani siwapendi toka nilipogundua kuwa hawatembelei maneno yao, waongo, wabinafsi, wazandiki. Ila kwa haya yanayoendelea kwa msigwa dhidi ya Mbowe yanathibitisha chuki yangu ya kweli kwa msigwa na upinzani kwa ujumla.
Msigwa hamshambulii Mbowe kwa...
Msomi wa vitabu aliyepata kusema kama mtu hana vitabu nyumbani kwake yeye hawezi kuwa rafiki yake..lakini leo anaambatana na kina amos makala wasiokuwa hata na vitabu vya madhehebu yao..
Walimpa kiki ili kuzima ishu ya sukari ya Mpina kumshtaki spika na Bashe..sasa kama ujuavyo ccm huwa inawatumia kisha inawaflash waende na mavi..kazi yake imeisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.