Recent content by Shehullohi

  1. S

    Kwanini matamko ya Kanisa Katoliki kuhusu Serikali mienendo ya Serikali mbalimbali duniani huwa yanakuwa na nguvu zaidi na pengine tofauti na mengine

    Nitashangaa kama,ana mmoja tu, " eti mrithi" Anao warithi. Enendeni ulimwenguni pote mkawafanye...... Kwa nini yanakuwa na nguvu? Tafuta maana ya kushika zamu kwenye Biblia. Ukishaipata angalia na idadi ya waumini wa Katoliki katika jamii.
  2. S

    Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?

    Mfumo ndio unaotakiwa uyafanyie kazi hayo yote kwa kuweka taratibu za mafao yanayoeleweka kwa wahusika. Kama ni kusubiri fadhila na hizani, matokeo ndio hayo wahusika wanabakia na simulizi za kuvutia za kukusanya watu viembe gahawa huku wakipigwa na njaa kali. Yaani utasikia tulipotia buti Arua...
  3. S

    Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?

    Eti kila chuo maarufu lazima awepo mwehu wa kuzunguka majalalani. Mastelingi na maproduza wa hizo muvi walikuwa kiboko.
  4. S

    Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?

    Khalafu utakuta anayeota mapinduzi analikitambi hata kutembea mita 500 hawezi. Angalie huko Kongo mkimbizi anakimbia na kutembea mamia ya km na akiwa mbuzi na safuria mgongoni. Acha kabisa hayo mambo. Na Mungu apishie mbali.
  5. S

    Mdude: Ukiacha ukatili wake lakini Magufuli alikuwa ni Mzalendo. Kwanini wakati wa Utawala wake Umeme ulikuwa haukatiki?

    Inabifi ni cheke tu!!! Huyu aliye anzisha siredi kwa kumtaja utamuweka fungu gani?
  6. S

    Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?

    Niliona mtandao u tubu nafikiri sikumbuki vizuri, aliyekuwa dereva wa Kenyatta Jomo ambaye na mwanaye Uhuru wote walikuwa marais kwa vipindi tofauti. Hiyo nyumba anayo ishi na hayo maisha, ngachoka kabsa! Lazima na,nachekea kusema hayo ni masharti ya kimaagano kuwa asisaidike.
  7. S

    Mdude: Ukiacha ukatili wake lakini Magufuli alikuwa ni Mzalendo. Kwanini wakati wa Utawala wake Umeme ulikuwa haukatiki?

    Sababu ya ukame ilitumika wakati wake? ama mgao ulikuwepo? Kwa nini mdude amtaje?
  8. S

    Mdude: Ukiacha ukatili wake lakini Magufuli alikuwa ni Mzalendo. Kwanini wakati wa Utawala wake Umeme ulikuwa haukatiki?

    Na Marehemu JPM alitangaza hadharani kuwa wako watu huko Tanesco wanafungulia maji kwenye mabwawa yamwaiike ili wasababishe uhaba usio kuwepo kwa kisingizio cha ukame na wauze mafuta ya mitambo na majenerator. Hii ilikuwa ni kweli au si kweli.? Kwenye huu mgao wa sasa ukame umetajwa kama...
  9. S

    Mdude: Ukiacha ukatili wake lakini Magufuli alikuwa ni Mzalendo. Kwanini wakati wa Utawala wake Umeme ulikuwa haukatiki?

    Pale mwanzoni mwamzoni mwa awamu hii baada ya kuaminishwa kwamba mitambo ilikuwa ikiendeshwa bila routine services Tanesco waliombaga trillioni kadhaa sijui kama walipewa au la?
  10. S

    RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

    Alikuwepo Tetere Enjiwa. Hawavumi lakini wako
  11. S

    Mdude: Ukiacha ukatili wake lakini Magufuli alikuwa ni Mzalendo. Kwanini wakati wa Utawala wake Umeme ulikuwa haukatiki?

    Kwa wengine ambao barabara za kufika ma kwetu tulichimba wenyewe kwa mikono kutumia jembe sururu, rato na chepe. Mawe makubwa unawasha moto kuyaunguza hatimaye unavunja kwa nyundo ile ya 12kgs ya mawe. Shule tulizosomea madarasa tulifyatua tofali kwa mikono yetu wenyewe tunabakia kuwashangaa...
  12. S

    RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

    Yuko mchina wa jf Yiyusheping, Chabruma, Chasemwa Rae, OldmanIf. Hivi kijarida cha cheche kilikuwa na unasaba na Jambo Forum ama JF???
  13. S

    Kwanini tusikiondoe cheo cha Makamu wa Rais tu?

    Kiengezwe cheo cha Makamu makamu wa Rais/Naibu naibu wa Rais. Kwenye miiko ya cheo cha Vp kiko kipengele kinacho muelekeza kutenda/kufanyakazi kwa tahadhari kuepuka asimfunike boss wake?
Back
Top Bottom