Recent content by sheby electroner

  1. sheby electroner

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    namba yangu ni 0657994415 mkoa wa pwani naomba msaada kuwabaini hawa watu. walidai wao ni huduma kwa wateja
  2. sheby electroner

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    msaada kuna utapeli umeganyika tafadhari msaada
  3. sheby electroner

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    tayari mafundi wanafanya kazi ya kubadilisha waya sasa. tunashukuru. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. sheby electroner

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    ok naituma muda si mrefu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. sheby electroner

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    msaada ea haraaka. mimi fundi umeme nimefanya wayaring ya umeme kampuni moja. sasa wananilalamikia mimi kuhusu suala la nguzo kuhamisha. swala hili halinihusu hata kidogo. sasa hawa jamaa wanalalamika kuhamishiwa nguzo hiyo maana waya umegusa paa. niliwashauri waende tanesco, wamefanya...
  6. sheby electroner

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO pia mnatoa ushauri. hebu naomba ushauri, mimi fundi. elimu yangu kudato cha nne fani yangu ni fundi umeme. kila nikiimba kazi tanesco sioni mafanikio. angalau kibarua lakini hakuna kitu. nikituma barua siitwi mwaka wa tatu sasa. nikingia katika miradi ya rea umeme vijijini nafanya...
  7. sheby electroner

    Natafuta Kazi ya Ufundi umeme

    kama kuna dili za kuwrka eaya kwenye majumba pia naweza vizuri tu. nipeni dili hizo jamani Sent using Jamii Forums mobile app
  8. sheby electroner

    Natafuta Kazi ya Ufundi umeme

    jamani msaada wana Jf wenzangu, natafuta kazi ya ufundi umeme tanesco. elimu yangu ni kidato cha nne taaluma ni fundi umeme. Mawasiliano 0655627744 0621058954 nipo kibaha mailimoja. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. sheby electroner

    NATAFUTA KAZI

    rubii, thanks Sent using Jamii Forums mobile app
  10. sheby electroner

    NATAFUTA KAZI

    niliandika wayaring nikiwa na maana wiring istallation. kwani neno wayaring ndilo linalogahamika kama maneno ya misimu, japo si sahihi katika lugha. lakini anayehoji anime (meaning of wiring istallation) kwa kiswahili ili niandike vizuri. najua watu wanahoji, ila tayari ujumbe umefika kuwa nini...
  11. sheby electroner

    NATAFUTA KAZI

    Natafuta kazi ya wiring ya umeme jamani msaada mimi ni fundi umeme. 0621058954 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. sheby electroner

    Kutana na Electricty technician kwa marekebisho ya umeme nyumbani kwako

    jamani nahitaji kufahamu jinsi ya kuwa na sanduku la posta langu mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  13. sheby electroner

    Msaada wa haraka; hapokei simu wala sms kwenye simu

    weka #35*0000# Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom