Recent content by shebbyumeme mwembemagari

  1. shebbyumeme mwembemagari

    JamiiForums Tanzania Gari kula mafuta (mobile garage)

    Nipe namba yako Kuna gari natarajia kuifuta dodoma siku ya j.nne so tutawasiliana
  2. shebbyumeme mwembemagari

    JamiiForums Tanzania Gari kula mafuta (mobile garage)

    Hapana but Huwa tunakujaga na kuondoka kwa order
  3. shebbyumeme mwembemagari

    JamiiForums Tanzania Gari kula mafuta (mobile garage)

    Karibu mkuu kama uswali lolote kuhusu gari niulize ntakujibu
  4. shebbyumeme mwembemagari

    JamiiForums Tanzania Gari kula mafuta (mobile garage)

    Napatika sinza dar es salaam 0659-717838
  5. shebbyumeme mwembemagari

    JamiiForums Tanzania Gari kula mafuta (mobile garage)

    ✓Kwenye gari Kuna vitu vingi sana kama havio sawa vinapelekea gari kutumia mafuta mengi kuliko kawaida. Kwa mfano 1) Kutanuka kwa matundu ya nozzle. 2) Kuchoka kwa spark plugs 3) Kuwepo na leakage ya hewa 4) Kufeli kwa oxygen sensor. ✓Kama ukiona gari lako linakuka mafuta au linachangamoto...
  6. shebbyumeme mwembemagari

    JamiiForums Tanzania Taa za tafadhali zinazowaka kwenye dashboard ya gari yako.. Check engine, abs light, airbag light 4wd an nk

    ✓Watumiaji wengi wamejikuta wakiingia kwenye matatizo makubwa kwenye gari zao kwa kusababisha wao wenyewe bila kujua...!!! ✓Kivipi? Gari nyingi za kisasa Huwa zinatoa taarifa ya changamoto ya chombo kabla halijawa kubwa.. Sasa kitendo cha kuipuuzia pasipo kuchukua hatua kwa wakati ndio...
  7. shebbyumeme mwembemagari

    JamiiForums Tanzania Msaada wa fundi: Toyota Runx inabugia mafuta

    Habari mkuu vipi bado gari yako inachangamoto
  8. shebbyumeme mwembemagari

    JamiiForums Tanzania Msaada voxy engine 1az fse inakula mafuta balaa. 1 litre per 3km

    Mpaka sasa bado hiyo changamoto ipo
  9. shebbyumeme mwembemagari

    JamiiForums Tanzania Je, Gari yako haina nguvu au inatumia sana mafuta?

    ✓Unawezekana gari yako imeanza kutumia mafuta mengi kuliko ilivyokia awali ✓Au inakosa nguvu kwa namna yoyote Ile na haujui nini cha kufanya ✓Tafadhali usisite kutupigia simu ili kupata maoni, ushauri au kujua nini cha kufanya ili kutatua changamoto Hizo kwenye gari yako. @PIGA SIMU:- 0659-717838
  10. shebbyumeme mwembemagari

    JamiiForums Tanzania Unajua nini ufanye gari inapokosa nguvu?

    ✓Gari kukosa nguvu ni kitendo cha gari kushindwa kufanyakazi kazi katika uwezo wake wa kawaida kitaalamu matatizo yanayopelekea gari kukosa nguvu yamegawanywa katika makundi matatu nayo ni. (1)Kufeli kwa sensors mbalimbali Sensor ni kifaa kinachopatikana kwenye gari nyingi za kisasa chenyewe...
  11. shebbyumeme mwembemagari

    JamiiForums Tanzania Je, Gari yako inakosa nguvu?

    ✓Gari kukosa nguvu ni kitendo cha gari kushindwa kufanyakazi kazi katika uwezo wake wa kawaida kitaalamu matatizo yanayopelekea gari kukosa nguvu yamegawanywa katika makundi matatu nayo ni. (1)Kufeli kwa sensors mbalimbali Sensor ni kifaa kinachopatikana kwenye gari nyingi za kisasa chenyewe...
  12. shebbyumeme mwembemagari

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Ahhhh ok kilwa maeneo gani? Mkuu
Back
Top Bottom