Recent content by She is Aisha

  1. S

    Nahitaji kazi

    Habari naitwa Aisha nipo Dar es salaam nahitaji kazi Elimu ni diploma Nasoma Bandari College naendelea bado sijamaliza.. Nina uzoefu wa kazi za hoteli, Sheli, duka, na receptioniat ukweli nahitahlji part time job hata ikiwa tofauti na hizo ni sawaa..Nina uwezo wa kusoma na kufanya kazi...
  2. S

    Kuomba nafasi ya internship (field) shipping and ports operation management

    Habari za wakati huu , Naitwa Aisha Jumaa Saidi, ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nikisoma Shipping and Ports Operations Management katika chuo cha (Bandari College). Natafuta nafasi ya field attachment/internship kuanzia (August hii 2025) katika kampuni, taasisi au bandari yoyote...
  3. S

    Naomba ushauri kuhusu Deep Poll na cheti cha kifo

    Jamanii naombeni samahanii kiukweli nahitaji ushauri wenu sana hizo mis understanding sio nzuri, samahanini yaanii mm nahitaji ushauri nisaidieni tu hata sielewi wakuu🙏 Nasubiria majibu yenu.
  4. S

    Naomba ushauri kuhusu Deep Poll na cheti cha kifo

    Habari ZENU, Mimi nilivyomaliza shule ya Msingi nilipelekwa Lushoto, huko sikusoma form one ilikuwa direct form two na kaka angu mtoto wa ba mkubwa ndie alikuwa ananisimamia kusema nina akili nisisome form one. Baadae akaniambia jina langu limegoma hivyo akaniandikia jina la mdogo wake ambae...
  5. S

    Ushauri kuhusu deed poll

    Habari zenu nilikuwa naomba ushauri mm binafsi wakati namaliza shule ya msingi nilichukuliwa na kaka angu ambae anamuita baba yangu bamdogo, ilikuwa ni shule ya kulipia huko Mlalo Lushoto lakini sikuanza form one na kaka alipendekeza nianze form two kwasababu nina akili sana na mm nikaanza Lakn...
  6. S

Back
Top Bottom