Recent content by shass 113

  1. shass 113

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Cost zote zinajulikana kiualisia,kama usafiri,chakula,malazi,wabebaji.kimsingi kutoa mzigo eneo husika mpaka kufika kwa mlaji au argent..so point ya msingi outputs...
  2. shass 113

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Unaweza ukanunua mpunga.then ukakobolesha mwenyewe.katika machine za Ku grade alafu ukawa unasafirisha na kuuza Michele. Hiyo ndo inalipa pana gunia la mpunga utanunua sh 60,000 kukoboa gunia 3,500. Kwa mpunga mkubwa litatoa kilo 70-72.hivyo kama una mtaji Wa laki sita utapata gunia 10,ambazo...
  3. shass 113

    Accounting software nzuri

    Nahitaji msaada ni software ipi itanifaa katika transaction zangu...mana nature ya biashara yangu ni mills,store,bar and restaurant.... Mana company yangu nafanya vitu vyote kwenye madaftari...
  4. shass 113

    Msaada kuhusu mahesabu ya mwaka tra na vitabu kaguzi

    Hahahaha...ila poa niliitaji Tu nitambue kitu...
  5. shass 113

    Msaada kuhusu mahesabu ya mwaka tra na vitabu kaguzi

    Wadau mi naomba kutolewa japo format ya mahesabu ya mwaka yanayo enda tra..ili kukatwa kodo..na je ni vitabu gani tra wakija ofcn huwa wanavikagua...naombeni msàada
Back
Top Bottom