Recent content by shashula

  1. S

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo hiki mlichotufanyia continuous ni nini?

    Hakuna liyepandishiwa Kuna jamaa amedahiliwa MD anda amepangiwa laki 2 na Ada ya Chuo n million 5+
  2. S

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

    Asuburi Chuo kitume taarifa ,ama kiwasilishe detail zake HESLB
  3. S

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

    Kama kiongozi hakupaswa kupanini na kuingiaa vitu vya hisia zake alipaswa kujibu polightly angeeleweka tu hakupaswa kufanya reaction kias hicho na kujihisi unyonge
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

    Hana uwezo huo kwa sababu anajibu kma vile anajibu famili yake amejaa jaziba sana ivo inamfanya aonekane Hana presentation nzuri
  5. S

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

    Pole Kuna wadau zimesharudi
  6. S

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

    Ingia kwa sipa utakuta allocation yako imesharudi tayari
  7. S

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

    Una uhakika na hilo ama unaongea tu
  8. S

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

    Mwazon ulikuwa inasomekaje? Ama umekuwa hivyo Toka mwanzo
  9. S

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

    Cuhas Bugando
  10. S

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

    VIP kwa AMBAO wapepangiwa kiasi kidogo kwa Ada Ada ya Chuo kwa MWAKA Ni millioni 7+ ila kapangiwa Ada ya mkopo 400000 itakuwaje ama ataongeewa lakin appeal inagoma kufunguka
  11. S

    JamiiForums Tanzania Makonda anaweza kuishitaki I.T.V kwa kurusha tuhuma dhidi yake?

    How sure Kama Ni uongo
  12. S

    JamiiForums Tanzania Maombi ya mikopo ya elimu ya juu

    Kwa nn hukukamil8sha boss
  13. S

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kujiunga elimu ya juu (degree)

    Ww nenda kasome acha brabraa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia asikitishwa na kuumizwa sana na kifo cha kada wa CHADEMA. Asema anakichukia Kifo

    Na ww n kichwa maji tu yaani watu wanakufa unaona fahari kutowasaidia unataka ufanye nn
Back
Top Bottom