Recent content by sharona

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hili IGP ukinyamaza nitakushangaa sana!

    Mbwa hao wanalalaga na njaa mwaka mzima watoto wao tabu wanakuja kudanganywa kwa vijiela vya siku moja kutoa bendera na kuleta fujo..mkishinda sala za wananchi zitalipwa duniani
  2. S

    JamiiForums Tanzania Serikali: Ukitaka kukaa mita 200, uwe na kibali

    Watanzania wamesahau nchi inavyoliwa..escrow mwaka Jana iliumiza mioyo ya watu sana na viongozi walibebana sana bungeni wapiganaji walipigana..Leo wanataka kuendelea na kuwapa nchi hii hatufikiri yaliyotokea ? Can't blv this is happening
  3. S

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kinondoni hatutaruhusu mtu yeyote kubaki vituoni

    Makonda Ana nguvu gani ya kuwashughulikia watu...uongozi mbona umekuwa kama ndio mgawa pumzi mnajiamlia tu...pumzi avutayo ndio hiyo tuvutayo tunaweza kuisimamisha pia salamu kwake..achunge sana.wote si kitu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Shamra shamra za Ukombozi zimeanza Jijini Dar es Salaam

    Maigizo alete ukawa? Wakati bongo movie nzima uko sisiem nafikiri mko location picha lenyewe. ...
  5. S

    JamiiForums Tanzania KOMBORA za Mwisho Kuanza Kurushwa Oktoba 01

    Elungata ulikuwepo au mdomo wako umezoea kuji haja..
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa ashindwa kuhutubia Geita

    Na amezungumza na wana chato
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa ashindwa kuhutubia Geita

    Mnaona chanel ten chato...alikuwa na kampeni...chato
Back
Top Bottom