sasa ww nime kuelewa n nadhani sio mbaya pia couse naeza kua naifanyia manunuzi ya vitu binafsi mtandaoni n tayari nime sinup ila nachemka hapa kwemye ku link card nifanyeje ili iweze kumaliza.
tuko nyuma sana aisee na serikali ingejua jinsigani inatunyima fursa vijana wao wangefungua mara moja mana online kuna fursa zakuingiza pesa nyingi sana
ndio mm nnaswali mana nilikua nhitaji paypal ila nahisi bado cjapata ufafanuzu zaidi ila nna rafikiangu kutoka us kaniambia nijiunge n payoneer n kanipa link lakini nikioanisha n hii yako naona hazifanani n hata katika ufungukaji pia kuna vitu vinatafautiana kwa kusibitisha apa nnapo fanya...
Habari wadau nilikua naomba msaada wenu kwa yeyote anaetumia paypal ningependa anisaidie kuyafaham yafuatayo tukiachana na jinsi yakufungua account nilitaka kufaham je inawezekana kutumia paypal kama wallet kwa mfano nafanya kazi n mtu online alafu malipo yangu yawe yanaingia kwenye paypal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.