Recent content by shareef

  1. S

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa akosoa uongozi wa Rais Magufuli

    Hizo ni kelele za mwana siasa aliyepoteza kuchaguliwa. Rais ni mmoja wa mihimili mikuu mitatu ya utawala. Anayo mamlaka kupinga kabisa matumizi mabaya yaliyopitishwa na Bunge. Kama Lowassa na timu yake wanaona kuwa ni kosa kufuta matumizi ya sherehe na kuzipeleka kwa wananchi moja kwa moja...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Rais kutumia lugha ya Kiingereza

    Huli ndio tatizo kubwa miongoni mwetu sisi wananchi wa Afrika, kwa ujumla, na wengi wetu nchini mwetu Tanzania, kuwa kama hujasema Kiingereza basi wewe hujasoma, au mjinga, au si mstaarafu. NI KASUMBA TULIOLISHWA NA WAKOLONI WETU, tokea miaka ya kudai Uhuru, hadi baada ya kupata Uhuru wetu...
  3. S

  4. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa aandaa waraka kumchanachana Kikwete kesho (Julai 20, 2015), kutimkia ng'ambo...

    Runaangalia Sinema, raundi ya kwanza!
Back
Top Bottom