Recent content by Sharahange

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wasambazaji / wauzaji wa mblea na sumu za kuulia wdudu na palizi shambani.

    Habari wadau, kwa yeyote anayejua wasambazaji na wauzaji wa mbolea na sumu za kuulia wadudu pamoja na sumu kwa ajili ya kuua magugu shambani kwa bei ya jumla, anijuze tafadhali.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Updates kazi wilaya ya Misungwi

    Habarini wadau, kwa yeyote mwenye update kuhusu post za utendaji Kata, Wilaya ya Misungwi ambazo deadline ilikuwa tar 30/05/2015 2juzane tafadhali.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta underground wacheza filamu

    0787 807 381 0712 214 160
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Wakuu habarini! nipo Dar kwa yeyote mwenye kufahamu wanapouza pembejeo za kilimo kama vile madawa,mbolea n.k kwa bei ya jumla.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hedhi wakati wa ujauzito

    Habarini wana jamvi! naombeni kujuzwa ya kuwa kuna uwezekano kwa mwanamke mjamzito kuendelea kupata hedhi? au kwa lugha nyingine wanaita "punguza" na ni nini hatima au dawa yake? na kuna uwezekano akajifungua mtoto pindi muda utakapofika? nawasilisha wana JF.
  6. S

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

    Sijafanya, ila mara nyingi huwa nasikia wa2 husema ni vibaya, sasa nilitaman kujua ili hata cku m2 akiniuliza nisikose jibu la kumpa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

    Sijafanya, ila mara nyingi huwa nasikia wa2 husema ni vibaya, sasa nilitaman kujua ili hata cku m2 akiniuliza nisikose jibu la kumpa.
  8. S

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

    Habar wana jamii! naomba kujuzwa ya kuwa ni madhara yapi mtu anaweza kupata endapo kama atafanya mapenzi wakati mwanamke yupo kwenye hedhi?(awe mke au mume?).
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kuwashwa ukeni wakati na baada ya kufanya tendo la ndoa

    Habari wana Jamiiforums. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, mke wangu kwa siku za hivi karibuni wakati na baada ya kusex analalamika ya kuwa anawashwa sana ukeni, tofaut na mwanzo mpaka hataman tena kusex. Sasa tatizo ni nini? msaada wenu wana jamvi.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Je itakuwa mimba au ?

    Naomba kujua pia hivi mwanamke akifanya mapenzi siku 1 baada ya ku-bleed aweza pata mimba? mfano ameanza ku-bleed tar 1,2 na 3 akamaliza na cku iliyofuata akafanya mapenzi, je vp hapo aweza pata mimba?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nauza king'amuzi cha star times 40,000

    Mkuu mimi nakihitaj hcho kwa hyo bei ya 10,000, nipo Dar namba yangu ni 0712 214 160,unapatikana wap? na pia naomba namba zako ili nikutafute mkuu.
  12. S

    JamiiForums Tanzania nahitaji line ya mpesa au tigo pesa

    Ni call 0712-214160 nina za M-Pesa.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Star Times!

    Mkuu naomba contacts zako ili nikutafute!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Star Times!

    Unakiuzaje na nitakipataje? coz mi nipo Dar!
  15. S

    JamiiForums Tanzania Star Times!

    Habar wana jamvi! msaada kwa yeyote anayefahamu bei ya kisimbuzi cha Star Times kwa sasa coz nakihitaji!
Back
Top Bottom