Recent content by shaqlim

  1. shaqlim

    Kamati Kuu ya CCM Yaridhia Kikwete kusuka upya Baraza lake la Mawaziri

    CLOUDS TV WALITUPIA MAANDISHI YAFUATAYO MUDA WA DAKIKA ISHIRINI ZILIZOPITA!!!!! Kamati Kuu ya CCM iliyoketi leo Jijini Dar es Salaam Imeridhia Uamuzi wa Mwenyekiti wake Rais JAKAYA MRISHO KIKWETE kulivunja na kulisuka Upya BARAZA LA MAWAZIRI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
  2. shaqlim

    Waziri wa JK akimbia wanafunzi wa muhimbili

    Tulikua tunasubiri wakati muafaka wa kuuonyesha ulimwengu jinsi gani udhalimu umekuwa ukiendelea hapa muhimbili, kama ni kufika katika ngazi zote husika tulishafika na wakatupuuzia, leo walijileta wenyewe ONE MISTAKE ONE GOAL! na bado!! mpaka wajue kuwa ZAMA HIZI NI ZA HESHIMA SIO UWOGA!!! KWA...
Back
Top Bottom