walimu wameshiriki vipi kufundisha watoto shairi la zuchu ubeti kwa ubeti, ukitizama video watoto wanaimba bila kukosea ubeti hata mmoja. Muziki ni sehemu ya michezo wewe graduation ngapi watoto wanacheza nyimbo za hovyo Tanzania nzima , tuwaache walimu wazazi tulee watoto wetu hiyo ni...
hoja yako nzuri sana, tena sana lakini ni nzito kuliko uzito wa hoja tunayoijadili tumfukuze sheikh msikitini asiswalishe kwa sababu muumini wake amekamatwa anaiba? na huy naye atakuwa hajachuja waumini wa kuwafundisha dini? tuwaache walimu kila mzazi awajibike aangalie watoto wake wanatizama...
TCRA ,BASATA watoe maelekezo kwa wamiliki wa wa TV na Rediio wadhibiti maudhui yasiyofaa kwa watoto, mzazi awekewe pg kwenye channel ili uamue kwa hiari yako waangalie maudhui ya wakubwa waangalie maudhui ya watoto wenzao
waziri kaangalia tulipoangukia, nakuuliza maswali yafuatayo kama nyyumbani kwako utakuwa kishimbusi cha DSTV.
Je, uliwahi kuona logo ya PG 12, PG 13, P14? (parental guidance)
Kamauliwahi kuona ,uliwahi kujiuliza kwa nini imewekwa?
Unafahamu wajibu wa sera ya madili kwa wanaonesha maudhui kwenye...
usikwazike waziri kafanya maamuzi kwa papara hili jambo linagusa maeneo mengi tuweke mkazo ili tufanikishe kwa pamoja , jiulize walimu walliopo wakijiuzuru wakaenda kufanya biashara nani atawafundisha hao watoto hapo shuleni. Ukumbuke kuacha kazi ni hiari so iktokea wameamua upande mwingine nani...
nyimbo wamejifunza shuleni au makwao? wewe ungekuwa imamau au mchungaji ungekubali kuondolewa cheo chako kwa sababu muuumini wako ni mwizi? ukiona haiwezekani basi ujue walimu wameonewa
Niliposikia Makonda Kateuliwa kuwa mwenezi wa CCM nilisema wamepata mtu wa kazi na mwenye sauti ya kukisemea cha chama cha Mapinduzi ,ila ninayoyaona Makonda anakwenda kuvuruga weledi wa watendaji wa Kazi seriaklini kwa kofia ya kumsemea Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi.
Tujiulize maswali...
sawa kabisa tuwasaidie walimu warudi kazini huwezi kumuondoa imamau msikitini kwa sababu watoto wa madrasa wameedna kuiba maembe sokoni, huwezi kumfukuza mchungaji kwa sababu muuumini wake ni mlevi wa kupindukia
huyu ni mwoga suala jepesi hapa , je wazazi nao wafukuzwe kazini kwa kwa kushindwa kuwalea watoto wao kwa sababu wanaimba matusi? vipi tumfukuze sheikh msikitini kwa sababu muumini wake ni kibaka? au tumfukuze padri kwa kosa mwenyekiti wa Jumuiya amebaka? hili ndio tatizo la waziri kawafukuza...
Tayari kashaanza kuharibu tutarajie watumishi kuvurugana maofini huyu anamjibu boss nimeambiwa na makonda na yule anamjibu mwenzie mimi ndio boss wako tekeleza nikutimue kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.