Recent content by Shankupe

  1. S

    JamiiForums Tanzania I swear am Separating with Someone Today

    I guess you have already done what you intended to do yesterday isnt it?? But you should strive to make sure that he shows you love everyday and not necessarily on Valentine's day only
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanaupendo kuliko waafrika ...

    Mmhh umefanya research kwanza mpaka ukaongea hivyo? Kucheat hakuna cha mzungu wala mwafrika,wote wanafanya the same.Nadhani hii kitu commitment ni personal zaidi na sio ya kufanya generalisation.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je mke mmoja anatosha kweli tuweni wawazi?

    Kwa nini asitoshe?? Unachotafuta ni kipi haswa? Jiheshimu na heshim commitmnet yako kwa mwenzio.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro kugombea ubunge jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM

    Mmhh kazi ipo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tujadili: Haki ya kukosea, mpaka ni wapi?

    Kwa mtazamo wangu ni hivi, si vizuri kumwacha mtoto apitie yale makosa uliyopitia wewe wkt unakua.ni vema ukae naye/nao na kuwaeleza ukweli wajue positive na negative ya mambo mbali mbali hususani wakiwa wanaelekea ktk teen ages.akishajua positive and negative then risk iko kwake mwenyewe kama...
  6. S

  7. S

    JamiiForums Tanzania Laana na kuacha(kupiga kibuti)

    Hakuna uhusiano wowote hapa nadhani ni imani zetu tu.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kuvumilia sana kati ya me/ke

    Mwanamke. umeshajua so what now?????
  9. S

    JamiiForums Tanzania mapenzi

    Weupe au weusi wa mtu sio kipimo cha ujuzi wa mapenzi. Mapenzi is an art. Ujuzi ktk mapenzi hautegemei na rangi ya mtu bali ni utundu tu wa mhusika na kujua nini cha kufanya ili kumridhisha mwanani wako.
  10. S

    JamiiForums Tanzania My Uncle, The Love of My Life

    Mmhhh makubwa!!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Umegundua mpenzi wako amekudanganya unafanyaje?

    Aliyenieleza ni ndugu yake wa karibu sana na hapatikani kwa simu saiv.I feel bad kufanywa kama mtoto mdogo.ni mara ya kwanza amenidanganya kweli
  12. S

    JamiiForums Tanzania Umegundua mpenzi wako amekudanganya unafanyaje?

    Hello members wa MMU, Nina mpenzi wangu tunayependana kwa dhati sana na tuna malengo ktk future yetu. Juzi kati aliniaga anasafiri kidogo nje ya mkoa na nikamwelewa tu kivizuri kwa vile alikuwa anaenda kupumzika kidogo.Hazikupita siku kadhaa nikapata habari za uhakika kutoka kwa ndugu yake mmoja...
Back
Top Bottom