Recent content by Shaneel

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Umuhonge Mwanamke???

    nadhani huo ni mtazamo tu,wapo wanawake ambao wana wawezesha wanaume zao.na tofauti na hapo imezoeleka kuwa mwanaume ndio kiongozi hivyo ni wajibu wake kuhudumia mwanamke.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua!

    ni kweli my dear nakojoa bila kujua,ndo maana nilipenda kujua huwa inakuwaje.nashukuru kwa kunijuza.
  3. S

    JamiiForums Tanzania utajisikiaje utakapopata sms kama hii asubuhi na mapema kutoka kwa mpenzi wako wa kike

    Itategemea na aina ya mahusiano mliyo nayo,kama ni mpenzi wako wa hali zote hapo sawa ila kama ni mtu pesa itakuwa ngumu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua!

    Habari za jioni wana jamii?poleni na majukumu...mimi ni mwanamke niliyeolewa nafurahia sana ndoa yangu,na pia na enjoy sana kufanya mapenzi na mume wangu.ila napenda kujua kama mwanamke ana pees?(anakojoa)na kama ndio nini ishara ya kwamba sasa ana pees?
Back
Top Bottom