Gari imezima Ghafla?
Unaweza kufanya mambo machache wewe mwenyew pindi gari inapozima katika Hali ya kutotegemea kabla aujatafuta fundi.
Kama upo barabarani au sehemu unayoziba njia sogeza gari pembeni kwa kupata msaada wa kusukuma. Manual weka neutral sukuma pembeni. Automatic press shift...
Tuanzie hapa.
Je taa ya check engine inawaka!?
Kuwaka gari Ni combustion process ambayo inategemea
Mafuta
Hewa
Na Chanzo Cha mafuta katika muda sahihi,joto, pressure na kiasi sahihi
Hivyo chochote kinachoweza ingilia mkutano huu lazima gari italeta misfire etc
Kama check engine iko on...
Hilo tatizo linaweza kutokana na sababu nyingi.
Tunaweza kuzigawanya makundi mawili
1.Za kiumeme(Electrical and electronics faults)
Mfano.
Tatizo la throttle position sensor,air flow sensor etc
2.Za kimekaniko(Electromechanical faults)
Mfano
Kuziba kwa throttle kutokana na uchafu,ubovu wa...
Service za Magari Ni kitu muhimu Sana katika kuhakikisha usalam wa gari yako,wewe mwenyew na wengine.
Bahati mbaya sana huku kwetu service huwa tunazifanya kwa mazoea ndio maana sio ajabu gari kwenda gereji kila wiki muda mwingin mafundi tunashindwa kufuata misingi ya professional na Uaminifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.